mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Nimesikia mimi habari zao sitaki tena ku report ni waongo sanaNasikia Leo kuna press conference ya viongozi wa barca na baadhi yao wanadhamilia kutangaza nia ya kuachia ngazi wakiongozwa na segura sporting director yaani huu utakua upuuzi wa mismanagement ya barca kuwa na sporting directors watatu ndani ya kipindi cha miezi 32.
Sent using Jamii Forums mobile app