FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

upload_2017-9-20_1-3-34.png
 
At 18 Messi was an amazing dribbler who played as a RW.
At 21 Messi played in his false 9 and was literally unstoppable.
At 25 Messi was striker and couldn't stop scoring.
At 28 Messi was the play-maker and kept on scoring
At 30 Messi is the incomparable genius of football.
 
del kapiga cross mbovu boy kapiga cross mbovu sana.
Yaani huyu dogo, cjajua labda huko mbele atakuwa powa? Kipindi cha pili ndiyo alionesha kiwango kibovu sana yaani kila akipewa mpira kwa pasi safi tu lakini karibu Mara 5 anapoteza mpira ndani ya muda mfupi hadi Messi akaamua kucheza upande wa kulia. Kipindi cha kwanza nacho cross zote alizopiga zilikuwa mbovu kinyama.
 
Bro nimeona game yako Jana, you scored many goals lakini ile lack of concentration in first 20 minutes Isco could do a lot of demage there alafu ndio mngechanyikiwa.
Ndio maana mkawa mnalinganisha yeye na mfalme wa Mpira (Messi10) wa Muda wote?. Eti kisa alicheza vizuri mechi moja tu ya "World Cup Qualification" wiki kazaa zilizopita.

Mpira ni "situational", usitegemee kila mapungufu unayoyaona katika game fulani lazima yatokee/yanaweza kufanyika ktk game nyingine pia. Kwa hiyo, inawezekana kabisa tungekutana na Isco wala usingeiona hiyo lack of concentration/badala yake ungeiona kwa Isco na siyo kwetu.
 
Goals for club in 2017 calendar year:

Messi 44

Cavani 34

Lewandowski 32

Cristiano 29

Aubameyang 28

Harry Kane 28
Alafu wanatokea wahuni, mazoba wanatuambia eti ronaldo anastaili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2017 wakati king amekamatia toka msimu uliopita unaanza yaani huu uhuni kwenye soka sijui utaisha lini.[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Alafu wanatokea wahuni, mazoba wanatuambia eti ronaldo anastaili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2017 wakati king amekamatia toka msimu uliopita unaanza yaani huu uhuni kwenye soka sijui utaisha lini.[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Unataka mchezaji bora atokane na kombe la mfalme au FA kule uingereza
 
Back
Top Bottom