FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Lets take a moment and laugh at Real Madrid
Screenshot_2017-09-21-04-22-23-1.png

Ha ha ha ha na bado...game za ujanja ujanja na ukocha wa ujanja ujanja una mwisho Zidane a luck guy
 
Yani nimechoka kwa hilo sengerema paulinho kuja barca.....aiseeee nimestuka sana nina uhakika msimu hujao tutauza kwa hasara nahisi kuna fraud hapo aiseee
Nimeamua kuzisakua hizi komenti zilizitolewa wakati wa mechi el classico ile ya 13/08/2017,sio vibaya tukajikumbushia maoni yetu yalivokuwa wiki 5 zilizopita na juu ya furaha na mtazamo wa all madrid fanbase and medias pale kila mtu alivokua anamlaumu mwenzake.

Aiseeeh wakuu mimi zote hizi hazikuniuma ila huyo wa mwisho kukwotiwa aliniharibia siku, huu usiku wa kuamkia jumatatu nyeusi,sasa sijui anaweza kusimamia haya maneno au atakubali kuwa it's the opposite of his/her thoughts
countinho na dembele lile sengerema paulinho wametupiga hela zetu tu

Barca's era is OVER!
MADRID ARE THE CHAMPIONS OF SPAIN AND EUROPE!
HALAAAAAAA MADRID!

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]na bado
Hala Madrid

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kwa dharau..wampe na asensio red
Hala madriiiiid!

I'm sooooo happy
This proves Neymar can not be replaced and I guess we will eventually have him at Bernabeu[emoji38][emoji38][emoji38]
I said we are going to win this game..AND WE WON!
haha..RIP BARCA
And that what you call a goal keeper..what a joke!
Tonight we just gave u the taste of how it will be the entire season..de rey,la liga..Ours to win!
Em nkalale mie kwa raha zangu
HALA MADRID!

Sent from my itel it1403+ using JamiiForums mobile app
 
Kwanini sisi mashabiki wa Barca tuna washwa sana kufatilia maendeleo ya Waume zetu Galacticos zaidi kuliko maendeleo ya timu yetu....
Muda wotw masikio kama antenna kusikia Jirani zetu wamefanya nini badala ya kukomaa na timu yetu kuona namna gani nasie tuvunje record ya Double UEFA champions kama wao...

Mnajua wakuu nimegundua kuwa sisi mashabiki wa Barca tuna character kama za Nguruwe.
 
Aloo pole Sana kipigo nahisi kimekuchanganya hadi inafikia hatua unajiita Barc fan,sikulaumu wewe nawalaumu real betis
 
Kuna maneno hua napenda kuyarudia...
=''Utawala wa barcelona umeisha''
=''Nashuhudia mwisho wa barcelona''
na maneno mengine mengi tuliyoambiwa sisi mashabiki wa barca na wenzetu wa upande wa pili...
kwel kwa statics hizi barca imeisha.
⚽BARCA in 5 games=WWWWW
⚽MADRID in 5 games=WDDWL
[HASHTAG]#HALA[/HASHTAG] BARCA
[HASHTAG]#FORCA[/HASHTAG] BARCA
⚽⚽⚽⚽⚽⚽
 
Kwanini sisi mashabiki wa Barca tuna washwa sana kufatilia maendeleo ya Waume zetu Galacticos zaidi kuliko maendeleo ya timu yetu....
Muda wotw masikio kama antenna kusikia Jirani zetu wamefanya nini badala ya kukomaa na timu yetu kuona namna gani nasie tuvunje record ya Double UEFA champions kama wao...

Mnajua wakuu nimegundua kuwa sisi mashabiki wa Barca tuna character kama za Nguruwe.
Naona unapenda sana kuitwa shabiki wa barca, tutakubatiza hata kwa maji ya moto ila kwa sasa pole sana.... hao ndo betis
 
Kwanini sisi mashabiki wa Barca tuna washwa sana kufatilia maendeleo ya Waume zetu Galacticos zaidi kuliko maendeleo ya timu yetu....
Muda wotw masikio kama antenna kusikia Jirani zetu wamefanya nini badala ya kukomaa na timu yetu kuona namna gani nasie tuvunje record ya Double UEFA champions kama wao...

Mnajua wakuu nimegundua kuwa sisi mashabiki wa Barca tuna character kama za Nguruwe.
Unawashwa mwenyewe, madridog mkubwa wewe.
 
Kwanini sisi mashabiki wa Barca tuna washwa sana kufatilia maendeleo ya Waume zetu Galacticos zaidi kuliko maendeleo ya timu yetu....
Muda wotw masikio kama antenna kusikia Jirani zetu wamefanya nini badala ya kukomaa na timu yetu kuona namna gani nasie tuvunje record ya Double UEFA champions kama wao...

Mnajua wakuu nimegundua kuwa sisi mashabiki wa Barca tuna character kama za Nguruwe.
Madriddogs
 
Vipi umeshamsindikiza CR7 kwenda Morocco kupigwa pampu?
 
Kwanini sisi mashabiki wa Barca tuna washwa sana kufatilia maendeleo ya Waume zetu Galacticos zaidi kuliko maendeleo ya timu yetu....
Muda wotw masikio kama antenna kusikia Jirani zetu wamefanya nini badala ya kukomaa na timu yetu kuona namna gani nasie tuvunje record ya Double UEFA champions kama wao...

Mnajua wakuu nimegundua kuwa sisi mashabiki wa Barca tuna character kama za Nguruwe.
Fala mkubwa wewe ni [HASHTAG]#MadridDog[/HASHTAG] usijiite shabiki wa [HASHTAG]#Barca[/HASHTAG] hatuna mashabiki mashoga
 
Kwanini sisi mashabiki wa Barca tuna washwa sana kufatilia maendeleo ya Waume zetu Galacticos zaidi kuliko maendeleo ya timu yetu....
Muda wotw masikio kama antenna kusikia Jirani zetu wamefanya nini badala ya kukomaa na timu yetu kuona namna gani nasie tuvunje record ya Double UEFA champions kama wao...

Mnajua wakuu nimegundua kuwa sisi mashabiki wa Barca tuna character kama za Nguruwe.
Nachojua mimi, nguruwe halisi ndio ambao hutufananisha na wao kwakua sisi sio nguruwe. Pili, hao Madrid huwaga wanakuja kufanya nini ktk uzi huu, inahusu?. Toka enzi za usajili hadi eli-clasico ya kufungua msimu mpya wa Laliga wanarusha maneno mbovu mbovu. Alafu sisi tukisema inakuwa siyo sawa? hapana hiyo asee. Alafu sisi uzuri tunatoa maoni yetu ndani ya Uzi wetu na si kwamba tunawafuata ktk Uzi wao. Kifupi wasitupangie cha kujadili huku kwetu. Tunapambana na hali za timu yetu, nawao wapambane kivyao vyao. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom