FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

1de44181c80b270b34df3606b054d167.jpg
Hiki kikosi kinanitia wasiwasi. Girona siyo wa kubeza. Walisare na Atletico.
 
Roberto wamemuweka RB tena. Tumeanza vizuri. Kuna ushindi wa goli nyingi sana leo.
 
Last season Enrique aliponzwa na rotation za namna hii. We need to widen the gap between us and our rivals.

Sasa kumuweka Roberto na Vidal nyakati kama hizi ni kututishia amani.

At least Dennis Suarez angemake sense!
 
Roberto wamemuweka RB tena. Tumeanza vizuri. Kuna ushindi wa goli nyingi sana leo.
Nilisahau kuwaambie S Roberto ana train kama RB na A.Vidal kama winger wamepewa hiyo task mazoezi since last week
 
Kuna kitu nakisoma kwa Barca they are real so good na team ni shock absorber inahimili mashambulizi ya ghafla na ya juu na ya aina yoyote,mbaya zaidi wana uwezo wakusukuma mpira mbele -high pressing
 
Back
Top Bottom