bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Sijui na sisi tutashinda Leo kama baba zetu Galacticos walivyoshinda Jana huko Germany.
Daaah... Ronaldo wao hapendi ujinga kabisa linapokuja suala la UEFA. Majamaa yasipobeba tena ndoo mara ya tatu mfululizo nakula kinyesi changu.