FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ilikua ngumu kwa sababu midfield haziku press high halafu kwa mara ya kwanza na judge something is wrong with the best Suarez hafanyi attemp nyingi na hua anapoteza sana passes (accuracy is low)
Huyu Suarez nilisema hapa tangu tunacheza preseason games, kiwango kimeshuka sana!

Sio yule Suarez mnyama tuliemzoea, amekua butu sana!
 
defense yetu imejaa wanyama mwitu watupu. stergen amekuwa hybrid ya GK na CB. timu zitapata shida sana kutufunga msimu huu.

Pumbavu....
Tuache ujinga... Inajulikana kabisa kuwa Barca ndio timu inayoongoza kwa kuwa na Weakest Defense line...
 
Naombea sana Madrid awekeze more effort kwenye UEFA abebe ndoo mara ya Tatu mfululizo ili atuachie nafasi nzuri sisi Barca kuchukua tena La Liga..
Maana UEFA duuuu, wababe ni wengi sana..
Makina Madrid, Atletico, Chelsea, PSG, Man U kubabake hatuchomoki...
 
Mdogo mdogo tutachikua ndoo maana msimu uliopita tulianza kwa vishindo ila tukamuachia madrid alienza kwa kusuasua akachukua sasa na sisi hii zamu yetu.
 
Naombea sana Madrid awekeze more effort kwenye UEFA abebe ndoo mara ya Tatu mfululizo ili atuachie nafasi nzuri sisi Barca kuchukua tena La Liga..
Maana UEFA duuuu, wababe ni wengi sana..
Makina Madrid, Atletico, Chelsea, PSG, Man U kubabake hatuchomoki...
Tukiendelea kushinda hadi January. Hata Uefa twaweza chukuwa Mkuu. Ngoja tuone.
 
Pumbavu....
Tuache ujinga... Inajulikana kabisa kuwa Barca ndio timu inayoongoza kwa kuwa na Weakest Defense line...
Knowledge yako ya soccer it seems ni tatizo-Defence sasa hivi ndio inayobeba timu-kwa hivyo Stergen,Semedo,Pique,Umtiti nani unaona weak link
 
BARCA WANAANZA KUFUNGWA RASM LEO....WALITANGULIA NA BASKELI YA MITI
Waganga mmekua wengi sana siku hizi. Anyway, usiache kutuangalia tukichukua point zetu tatu muda ukifika!

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
BARCA WANAANZA KUFUNGWA RASM LEO....WALITANGULIA NA BASKELI YA MITI
"It's very important to win going into the international break. We'll try to go into it with a full house of wins, which would be a great end to this first stage": Ernesto Valverde's pre-Palmas Presser.
 
Back
Top Bottom