Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Rakitic ana siku na siku. kuna siku anaweza upiga hadi ukasema hakuda MD kama yeye. ni kama mtu mwenye Bipolar hivi.Kwa midfield hii ya Barca ya Rakitic nina mashaka ,robo unaweza kuwa mwisho wao