nafikiri msimu huu tuwe tunawaza gap letu na Valencia.Game over point 3 muhimu top of the league as usual gap la point 11 with Madrid [emoji23][emoji23]
naona kama Messi naye leo alikuwa anaforce sana kupangua beki.Kuna makosa madogo madogo especially mbele tunatakiwa turekebishe kwenye ku score na kupiga piercing or penetrating balls na finishing in general
Yeah wako juu sana nawafuatilia hata scoring zao sio za kitotonafikiri msimu huu tuwe tunawaza gap letu na Valencia.
Sevilla walikua na advantage ya physique za midfielder zao espec. Pizaro na Nzozi wamejitahidi sana kupiga interceptions na tackling nyingi sana kwenye quarter yao (golini kwao)naona kama Messi naye leo alikuwa anaforce sana kupangua beki.
Wewe, Nguruwe halisi, ulichificha wapi baada ya game??? Na bado utaendelea kuwa Nguruwe halisi....Sevilla piga nguruwe hawa....
Hazard ni gharama sana hatutaweza kummudu. Best option mi naona Sanchez arudishwe tu apige winga ya kushoto mana mkataba wake uko ukingoni tunaweza mchukua ata bure na Uefa atacheza maana Arsenal iko eufa ndogo. Kusajili mchezaji sa hv ambae ashacheza timu yake kwenye Uefa sidhani kama itatusaidia mana atacheza ligi tu.View attachment 624984
Robert Fernandes-Barca football technical professional director spotted at stamford bridge
Je ni hazard au martial?
PointHazard ni gharama sana hatutaweza kummudu. Best option mi naona Sanchez arudishwe tu apige winga ya kushoto mana mkataba wake uko ukingoni tunaweza mchukua ata bure na Uefa atacheza maana Arsenal iko eufa ndogo. Kusajili mchezaji sa hv ambae ashacheza timu yake kwenye Uefa sidhani kama itatusaidia mana atacheza ligi tu.