FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuna makosa madogo madogo especially mbele tunatakiwa turekebishe kwenye ku score na kupiga piercing or penetrating balls na finishing in general
 
Screenshot_2017-11-05-21-03-25-1.png

Robert Fernandes-Barca football technical professional director spotted at stamford bridge
Je ni hazard au martial?
 
View attachment 624984
Robert Fernandes-Barca football technical professional director spotted at stamford bridge
Je ni hazard au martial?
Hazard ni gharama sana hatutaweza kummudu. Best option mi naona Sanchez arudishwe tu apige winga ya kushoto mana mkataba wake uko ukingoni tunaweza mchukua ata bure na Uefa atacheza maana Arsenal iko eufa ndogo. Kusajili mchezaji sa hv ambae ashacheza timu yake kwenye Uefa sidhani kama itatusaidia mana atacheza ligi tu.
 
Point
 
BARCA INATAKA KUMSAJILI TAH

Barcelona wamemtaja Jonathan Tah kama shabaha yao kuu katika mpango wao wa kuimarisha safu yao ya ulinzi, kwa mujibu wa Sport .
Beki huyo wa kati wa Bayer Leverkusen anaaminika kuwa miongoni mwa vipaji hatari vinavyoibukia Ujerumani na amezivutia timu za Uingereza, lakini Barca wamemweka kwenye orodha yao kuu ya uhamisho.
 
Back
Top Bottom