Tatizo la barca sasa hivi sio defence ni frontlineBARCA INATAKA KUMSAJILI TAH
Barcelona wamemtaja Jonathan Tah kama shabaha yao kuu katika mpango wao wa kuimarisha safu yao ya ulinzi, kwa mujibu wa Sport .
Beki huyo wa kati wa Bayer Leverkusen anaaminika kuwa miongoni mwa vipaji hatari vinavyoibukia Ujerumani na amezivutia timu za Uingereza, lakini Barca wamemweka kwenye orodha yao kuu ya uhamisho.
Nice [emoji122]Whether you like or not January tunaingia sokoni kuchukua players kuimarisha kikosi ni lazima
Conditions😱ffensive midfielder na winger
Kati ya wanaotajwa ni Coutinho=120 mil euros,Griezman=100mil euros ,Mahrez ,
Challenge:wameshacheza UEFA so ni kwa matumizi ya laliga na msimu ujao
Ila chaguo la kocha anampenda sana Griezman na bado ana msimu mbaya na team yake na kama mnakumbuka alitamani kuondoka last season
Na bado kuna list ndefu Robert Fernandes ameingia front kuangalia players wa characteristics tunazozitaka England ,Italy,France
We jamaa unakaa kivule nnMshambuliaji kinda wa Barcelona, Ousmane Dembele atakuwa fiti kuivaa Real Madrid katika mechi ya El Clasico mwezi ujao.
Imeelezwa maendeleo ya Dembele ni mazuri na anaonekana tapona haraka kuliko ilivyotarajiwa.
Dembele alijiunga na Barcelona akitokea Dortmund lakini hakuwezo kuonyesha cheche baada ya kuumia mapema tu kayika mechi dhidi ya Getafe.
El Clasico itapigwa Desemba 23 kabla ya Krismasi na mshindi atakuwa na nafasi nzuri ya kusherekea kwa raha.
Ndio mkuu niko Kivule matembele ya pili apo.We jamaa unakaa kivule nn
Delle Ali hata pembeni anacheza kama ni kweli Messi amesema huenda akaletwa kwa sababu ma scout msimu uliopita waliwahi kum huntMshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi anatakana klabu hiyo kumtafuta mchezaji wa kiungo cha kati wa Tottenham Dele Alli, 21, kabla ya Real Madrid hawajafanya hivyo. (Don Balon - in Spanish)
Thread za Madrid Nakuona na huku tena kwa Barcelona upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, ataitaka klabu hiyo kukataa ombi lolote kutoka kwa PSG huku mchezaji huyo wa Brazil akitafuta kujiunga na Barcelona. (Sport via Daily Mail)
Namuona hata kwenye thread ya liverpoolThread za Madrid Nakuona na huku tena kwa Barcelona upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namuona hata kwenye thread ya liverpool
RumorsKiungo wa kati wa Bayern Thiago Alcantara, 26, amesema kuwa yuko tayari kurudi katika klabu ya Barcelona, klabu ambayo mchezaji huyo wa Uhispania aliondoka 2013 lakini amesisitiza kuwa anafurahia kusalia Ujerumani.. (sun)
Thread za Madrid Nakuona na huku tena kwa Barcelona upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namuona hata kwenye thread ya liverpool