Whether you like or not January tunaingia sokoni kuchukua players kuimarisha kikosi ni lazima
Conditions😱ffensive midfielder na winger
Kati ya wanaotajwa ni Coutinho=120 mil euros,Griezman=100mil euros ,Mahrez ,
Challenge:wameshacheza UEFA so ni kwa matumizi ya laliga na msimu ujao
Ila chaguo la kocha anampenda sana Griezman na bado ana msimu mbaya na team yake na kama mnakumbuka alitamani kuondoka last season
Na bado kuna list ndefu Robert Fernandes ameingia front kuangalia players wa characteristics tunazozitaka England ,Italy,France