FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

BARCA INATAKA KUMSAJILI TAH

Barcelona wamemtaja Jonathan Tah kama shabaha yao kuu katika mpango wao wa kuimarisha safu yao ya ulinzi, kwa mujibu wa Sport .
Beki huyo wa kati wa Bayer Leverkusen anaaminika kuwa miongoni mwa vipaji hatari vinavyoibukia Ujerumani na amezivutia timu za Uingereza, lakini Barca wamemweka kwenye orodha yao kuu ya uhamisho.
Tatizo la barca sasa hivi sio defence ni frontline
 
Whether you like or not January tunaingia sokoni kuchukua players kuimarisha kikosi ni lazima
Conditions😱ffensive midfielder na winger

Kati ya wanaotajwa ni Coutinho=120 mil euros,Griezman=100mil euros ,Mahrez ,
Challenge:wameshacheza UEFA so ni kwa matumizi ya laliga na msimu ujao

Ila chaguo la kocha anampenda sana Griezman na bado ana msimu mbaya na team yake na kama mnakumbuka alitamani kuondoka last season
Na bado kuna list ndefu Robert Fernandes ameingia front kuangalia players wa characteristics tunazozitaka England ,Italy,France
 
Nice [emoji122]
 
Mshambuliaji kinda wa Barcelona, Ousmane Dembele atakuwa fiti kuivaa Real Madrid katika mechi ya El Clasico mwezi ujao.
Imeelezwa maendeleo ya Dembele ni mazuri na anaonekana tapona haraka kuliko ilivyotarajiwa.
Dembele alijiunga na Barcelona akitokea Dortmund lakini hakuwezo kuonyesha cheche baada ya kuumia mapema tu kayika mechi dhidi ya Getafe.

El Clasico itapigwa Desemba 23 kabla ya Krismasi na mshindi atakuwa na nafasi nzuri ya kusherekea kwa raha.
 
We jamaa unakaa kivule nn
 
De Ligt now Barca’s top target

Over at Mundo Deportivo, the big news is that Matthijs de Ligt has emerged as Barcelona’s top target.

The young Dutchman is viewed as perfect for Barca, having grown up at Ajax and is similar in style to Gerard Pique.

Barca are still planning on bringing in Yerry Mina but want De Ligt too as Javier Mascherano and Thomas Vermaelen may both leave in the summer.

Lenglet impresses Barcelona

Another defender who could be heading to Barcelona is Sevilla’s Clement Lenglet, so say Sport.

The Blaugrana have apparently been interested for “months” and are aware he has a €30 million release clause.

What may help the deal is Aleix Vidal, Sevilla are keen on the 28-year-old and he knows he is no longer wanted at Barca.

Barca still interested in Griezmann

Meanwhile, Barca continue to track Antoine Griezmann and are willing to pay his €100 million release clause.

The Frenchman is not enjoying a good start to the season and Mundo Deportivo reckon Barca have let him know of their interest.

Barca did want Griezmann in the summer but his release clause at the time was €200 million, now it has dropped, they could be ready to bring him in.

Fernandez keeping tabs on Aleksandr Golovin

Robert Fernandez has been a busy man, as he was also in Switzerland to watch CSKA Moscow’s Aleksandr Golovin take on FC Basel in the Champions League.

Sport say he could be available for €20 million and describe him as a “complete” midfielder.

Fernandez also went to see defender Manuel Akanji, but it was Golovin who caught the eye.

James Rodriguez to Barcelona?

And today’s rumours end with the always entertaining Don Balon who report that James Rodriguez could be heading to Barcelona.

Apparently the Colombian is unhappy at Bayern following the departure of Carlo Ancelotti and wants to leave.

His agent Jorge Mendes, wants to turn his career around and feels he would be a great success at Barca.

However, to make that happen, Mendes would need to convince Bayern to activate their option to buy and then sell him to Barca.
 
Kiungo wa kati wa Bayern Thiago Alcantara, 26, amesema kuwa yuko tayari kurudi katika klabu ya Barcelona, klabu ambayo mchezaji huyo wa Uhispania aliondoka 2013 lakini amesisitiza kuwa anafurahia kusalia Ujerumani.. (sun)
 
Kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, ataitaka klabu hiyo kukataa ombi lolote kutoka kwa PSG huku mchezaji huyo wa Brazil akitafuta kujiunga na Barcelona. (Sport via Daily Mail)
 
KINDA KUWAGHARIMU BARCA & MADRID KIASI CHA €30M

Flemingo hawatawauzia Barcelona na Real Madrid nyota wanayemhitaji Lincoln kwa kiasi chochote pungufu ya euro milioni 30, limeripoti Marca .
Lincoln ameng'ara kwenye kikosi cha Brazili umri chini ya 17 Kombe la Dunia India, na sasa straika huyo amepandishwa kikosi cha kwanza Flemingo.
 
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi anatakana klabu hiyo kumtafuta mchezaji wa kiungo cha kati wa Tottenham Dele Alli, 21, kabla ya Real Madrid hawajafanya hivyo. (Don Balon - in Spanish)
Delle Ali hata pembeni anacheza kama ni kweli Messi amesema huenda akaletwa kwa sababu ma scout msimu uliopita waliwahi kum hunt
 
Screenshot_2017-11-14-08-45-43-1.png

We coming back -anajifua ili apone vizuri injury hii ni week ya pili kitaeleweka tu,Barca hatu boo wachezaji come back the beast
 
Kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, ataitaka klabu hiyo kukataa ombi lolote kutoka kwa PSG huku mchezaji huyo wa Brazil akitafuta kujiunga na Barcelona. (Sport via Daily Mail)
Thread za Madrid Nakuona na huku tena kwa Barcelona upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kiungo wa kati wa Bayern Thiago Alcantara, 26, amesema kuwa yuko tayari kurudi katika klabu ya Barcelona, klabu ambayo mchezaji huyo wa Uhispania aliondoka 2013 lakini amesisitiza kuwa anafurahia kusalia Ujerumani.. (sun)
Rumors
 
Back
Top Bottom