FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hili goli waliwahi kufungwa Manchester United na Spurs imeshapita miaka zaidi ya 10 aibu goli kama hili linaleta utata kwenye hizi zama za teknolojia.La Liga bado wako nyuma miaka 10 iliyopita
 
BARCA WANATAKA KUONDOA WATATU JANUARI


Barcelona itauza wachezaji kadhaa majira ya badiri kabla ya kusajili mtu yeyote, kwa mujibu wa Sport .
Miongoni mwa wachezaji ambao klabu hiyo ipo tayari kuwaruhusu kuondoka ni Aleix Vidal, Andre Gomes, Denis Suarez, Gerard Deulofeu, Arda Turan na Paco Alcacer.
 
Ulinambia mi ni muongo, nikakuambia weka ukweli. Ukweli ni upi? Maana hapo nilisikia ni kuwa hauna uhakika
Mkuu hao vijana wabishi wapotezee kwanza walikua wanaomba mabaya Messi aende Mancity halafu Messi juzi akawafanyia surprise yakuweka seal contract yake ambayo mwanzo ilishasainiwa na baba yake George Messi mwezi wa saba
 
Mkuu hao vijana wabishi wapotezee kwanza walikua wanaomba mabaya Messi aende Mancity halafu Messi juzi akawafanyia surprise yakuweka seal contract yake ambayo mwanzo ilishasainiwa na baba yake George Messi mwezi wa saba
Mi shabiki wa barca kuliko hata ww
 
Denis Suarez hastahili kuondoka, anatufaa sana.
Dakika chache anazopata anazitumia vyema,
Hao wengine waende tu.
 
Barca kapiga mpira wa Kufa MTU. Bahati tu haikuwepo.
No video decision in Spain otherwise lile ni goal.
 
Mi shabiki wa barca kuliko hata ww
Aya bwana mkuu juzi nilikuona unabisha kuwa Messi hajaweka seal yake
Practically sio kusaini mkataba kwa sababu ulishasainiwa ,management ya Team kuanzia mwezi August wanakuwa wanafanya reformation ya sources za fund ili kuweza kua accomodate salary&cost zake
Alichokiandika Khalidoun ni terms za mkataba wake uliosainiwa previously na Geroge Messi kama wakala so he is right
 
According to Forbes ni $667000 we data unaokota
Ungesema nilete source yangu na si kunizushia uongo. We umetoa Forbes I respect that nami nilitoa FoxSport.




FOX SPORTS


Lionel Messi, Barcelona contract news: New deal with $1.1 billion release clause




BARCELONA have finally confirmed a new contract for superstar Lionel Messi which will keep him at the club until 2021.

The club had previously stated in July that Messi had signed a contract, but no signature had confirmed the deal.

Now, with a staggering €700m (AU$1.1 billion) release clause, Messi will be contracted until he’s 34 years old.

Messi will also earn an £80m ($140m) signing bonus AND £500,000-a-week ($875,000) for the next four and a half years, totalling $205m.

Haya verify ukweli wa Forbes against data za FoxSport
 
Jana ndio ilikuwa Barca original-free flowing football,Tatizo kubwa ni wings za Barca,defenders wa opposing teams wako comfortable wanajazana kati bila wasiwasi,alaafu side defenders wao wana overlap at will-yaani ile width ambayo Barca wana operate at maximum haipo-tazama jana Semedo alivyopata taabu-two players were coming on his flank cause the winger upfront was missing.Sijui Dembele atarudi lini? na we need another wide man-bila width tuta struggle to break down teams.Ukosefu wa width unasababisha Suarez awe offside frequently.All in all Barca it seems is complete,inahitaji twitches kidogo tu
 
Kumbe alichokiandika ni kilichomo ktk mkataba aliosaini wakala wake na c katika mkataba aliosaini messi kwani vinaweza kutofautiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…