Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
C nilisikia ni 500000 per week auWeka ukweli wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C nilisikia ni 500000 per week auWeka ukweli wako
Labda km alivyochomwa yyKama wewe ambavyo nakuchomaga madole sio?
Ulinambia mi ni muongo, nikakuambia weka ukweli. Ukweli ni upi? Maana hapo nilisikia ni kuwa hauna uhakikaC nilisikia ni 500000 per week au
Ndo maana nasema boli la Spain lipo nyuma linabweba na uwepo wa wakali 2 bongo bao ka lile linakubaliwa england halihitaji hata goal line kulitambuaWashikaji tunahujumiwa goli la wazi linakataliwa
According to Forbes ni $667000 we data unaokotaUlinambia mi ni muongo, nikakuambia weka ukweli. Ukweli ni upi? Maana hapo nilisikia ni kuwa hauna uhakika
Labda hawana tofauti ya suraDenis hanatofauti na Isco
Itakuwa mpira huwa unaangalia kupitia jicho la tatuLabda hawana tofauti ya sura
Mkuu hao vijana wabishi wapotezee kwanza walikua wanaomba mabaya Messi aende Mancity halafu Messi juzi akawafanyia surprise yakuweka seal contract yake ambayo mwanzo ilishasainiwa na baba yake George Messi mwezi wa sabaUlinambia mi ni muongo, nikakuambia weka ukweli. Ukweli ni upi? Maana hapo nilisikia ni kuwa hauna uhakika
Ha haItakuwa mpira huwa unaangalia kupitia jicho la tatu
Mi shabiki wa barca kuliko hata wwMkuu hao vijana wabishi wapotezee kwanza walikua wanaomba mabaya Messi aende Mancity halafu Messi juzi akawafanyia surprise yakuweka seal contract yake ambayo mwanzo ilishasainiwa na baba yake George Messi mwezi wa saba
Denis Suarez hastahili kuondoka, anatufaa sana.BARCA WANATAKA KUONDOA WATATU JANUARI
Barcelona itauza wachezaji kadhaa majira ya badiri kabla ya kusajili mtu yeyote, kwa mujibu wa Sport .
Miongoni mwa wachezaji ambao klabu hiyo ipo tayari kuwaruhusu kuondoka ni Aleix Vidal, Andre Gomes, Denis Suarez, Gerard Deulofeu, Arda Turan na Paco Alcacer.
Aya bwana mkuu juzi nilikuona unabisha kuwa Messi hajaweka seal yakeMi shabiki wa barca kuliko hata ww
Ungesema nilete source yangu na si kunizushia uongo. We umetoa Forbes I respect that nami nilitoa FoxSport.According to Forbes ni $667000 we data unaokota
Denis Suarez hastahili kuondoka, anatufaa sana.
Dakika chache anazopata anazitumia vyema,
Hao wengine waende tu.
Suarez makali yameisha, anatoa boko sana,FT 1-1 mechi kali sana . Suarez anaudhi sana siku hizi. pumbavu zake.
Kumbe alichokiandika ni kilichomo ktk mkataba aliosaini wakala wake na c katika mkataba aliosaini messi kwani vinaweza kutofautianaAya bwana mkuu juzi nilikuona unabisha kuwa Messi hajaweka seal yake
Practically sio kusaini mkataba kwa sababu ulishasainiwa ,management ya Team kuanzia mwezi August wanakuwa wanafanya reformation ya sources za fund ili kuweza kua accomodate salary&cost zake
Alichokiandika Khalidoun ni terms za mkataba wake uliosainiwa previously na Geroge Messi kama wakala so he is right