FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Yaani huyu Defao sijui delafao or whatever anakimbilia kwenye blind alleys,anajipiga chenga yaani useless kabisa-sijui nani kamletaYaani huyu dogo anatakiwa kuuzwa HARAKA sana January, 2018. Aisee, kama wananisikia wamweke kwenye mpango wa wachezaji watakao uzwa mapema mwakani.
Jackline1 fikisha ujumbe huu kwa mgt ya Barca tafazali.
[emoji120] [emoji120]Dogo karibu anarudi uwanjani...
Wiki 3 toka siku apoumia...[emoji120] [emoji120]
Sergio Roberto anarudi lini jamani?
Napenda kumuona katikati ya dimba
Sergi Roberto 20 anarudi dimbani next week[emoji120] [emoji120]
Sergio Roberto anarudi lini jamani?
Napenda kumuona katikati ya dimba
Kila nikimuona uwanjani roho yangu inaniuma sana maana hakuna chochote anachojua zaidi ya mbioYaani huyu dogo anatakiwa kuuzwa HARAKA sana January, 2018. Aisee, kama wananisikia wamweke kwenye mpango wa wachezaji watakao uzwa mapema mwakani.
Jackline1 fikisha ujumbe huu kwa mgt ya Barca tafazali.
Hahahahaaa!!! Hadi nimecheka. Yaani yeye ni mbio, kurukaruka na kujipiga chenga mwenyewe. Utafikiri siyo graduate wa Lamasia...Kila nikimuona uwanjani roho yangu inaniuma sana maana hakuna chochote anachojua zaidi ya mbio
Huyu c nilickia atauzwa arsenalView attachment 639533
Rafinha Alxantara naye bado anaendelea ku recover
Not sure ila injuries zinamtesa sana jamaa nakumbuka hii ni mara ya nne mfululizo since 2015Huyu c nilickia atauzwa arsenal
Huyu cni midfielder nadhani barca kwa xaxa tuko vzr kwenye midfield labda km atachezeshwa wingerNot sure ila injuries zinamtesa sana jamaa nakumbuka hii ni mara ya nne mfululizo since 2015
Ila kwa kikosi cha siku hizi angepata airtime ya kucheza sana ni talented

Anacheza hadi no 11 ilikua ndio substitute ya Neymar kabla hajakuja Arda TuranHuyu cni midfielder nadhani barca kwa xaxa tuko vzr kwenye midfield labda km atachezeshwa winger
Vzr kama ni hivyo cio kama sijui li delaofeu lifalafala walipige bei na Gomez wakeAnacheza hadi no 11 ilikua ndio substitute ya Neymar kabla hajakuja Arda Turan
Halafi huyu dogo abaweza kucheza wide midfielder kwenye 442 aliyokuja nayo EV. Na goli analiona, tatizo ndiyo hayo majeruhi.Anacheza hadi no 11 ilikua ndio substitute ya Neymar kabla hajakuja Arda Turan