FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Aliyekwisha cheza UEFA hawezi kucheza tena team nyingne
 
Habari mbaya this week ni uwezekano wa Macherano kuondoka Barcelona mwezi January aisee nimeumia hawa wachezaji wanaoitumikia team muda mrefu sometimes wanatuacha kwenye pain Fans wao am speechless
Inauma sana kitasa anaondoka
 
Hawa majamaa wanaanza kuzingua wanaona kabisa tuna matatizo defensively wao wanauza tu
Wasijekufanya kama kwa DA tukaanza kuhangaika baadaye
 
Hivi hii barca b naona iko daraja la kwanza,this season sidhani ila je kama next season wakiqualify kucheza la liga wanaweza wakapanda daraja kweli au
Sheria haziruhusu mkuu, hata waki qualify watabaki huko huko. But kwa nafasi yao hawa wezi
 
Dear Virarreal. I wish you all the best tonight.
Tunashukuru mzee maharisho, baada ya match uje pia kuwa pongeza!! Usipo rudi kuwapongeza usitie mguu tena hapa.
Yaaani wewe inainesha ni maharo kuazia matakoni kwako mpaka ubongoni kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…