Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
Habari njema sanaMzee wa kukimbiakimbia uwanjani![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari njema sanaMzee wa kukimbiakimbia uwanjani![]()
Aliyekwisha cheza UEFA hawezi kucheza tena team nyingneKumbe wachezaji wataokasajiliwa January, 2018 hawatoweza kucheza UCL "round" ya 16 bora??. Au ni Coutihno pekee???. Imenistua sana hii habari!!!"With Liverpool in the last 16 of the Champions League, he should want to stick around as he wouldn’t be eligible to play for Barca in the knockout stages".![]()
Ivi mods hawaoni mbwa wa kike anavyokuja kufanya fujo humu?Kubabake....
Nyie kunguni mmeona dozi tuliyotoa huko kwa Sevilla.
Umemuua jamaa sijui kama atarudi tena ha haPointi 9 zipo palepale[emoji111] [emoji111] [emoji111]
Hapo nimeelewa MkuuAliyekwisha cheza UEFA hawezi kucheza tena team nyingne
Me naona ni bora tumchukue vile vile for league purposes cos Cot ana fit left wing (10&11) na midfield(offensive)Hapo nimeelewa Mkuu
Yeah, itakuwa powa yaaniMe naona ni bora tumchukue vile vile for league purposes cos Cot ana fit left wing (10&11) na midfield(offensive)
ExactlyMe naona ni bora tumchukue vile vile for league purposes cos Cot ana fit left wing (10&11) na midfield(offensive)
Hawa majamaa wanaanza kuzingua wanaona kabisa tuna matatizo defensively wao wanauza tuHabari mbaya this week ni uwezekano wa Macherano kuondoka Barcelona mwezi January aisee nimeumia hawa wachezaji wanaoitumikia team muda mrefu sometimes wanatuacha kwenye pain Fans wao am speechless
Inauma sana kitasa anaondoka
View attachment 647362
Sheria haziruhusu mkuu, hata waki qualify watabaki huko huko. But kwa nafasi yao hawa weziHivi hii barca b naona iko daraja la kwanza,this season sidhani ila je kama next season wakiqualify kucheza la liga wanaweza wakapanda daraja kweli au
Tunashukuru mzee maharisho, baada ya match uje pia kuwa pongeza!! Usipo rudi kuwapongeza usitie mguu tena hapa.Dear Virarreal. I wish you all the best tonight.
ThanksSheria haziruhusu mkuu, hata waki qualify watabaki huko huko. But kwa nafasi yao hawa wezi