FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuna goal pia game ya nyuma tulinyimwa, ni wakat sasa uongoz wa ligi ulitazame hili swala
 
utaalam wangu umefikia kikomo,ina maana hili goal sio offside
Nimesoma barcablaugranes kuna mtu kasema kuwa Messi hakuwa offside na Suarez naye hakuwa offside kwasababu hakuwa mbele ya mpira wakati anapokea ile pasi wote na Messi walikuwa kwenye line moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…