FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nna uchungu sana leo mashabiki wenzangu wa Barcelona dah ata El Classico sijui kama ntaangalia na itakua match ya kwanza ya Barcelona toka ligi iianze kuikosa kuiangalia.
Naitakia Barcelona kila la heri
 
Uchungu wa nini, unakwenda kuzaa?
 
Hamna ndugu yangu, punguza ukali wa maneno ndugu. Mi ni fresh Graduate nimefail interview round ya mwisho kabisa na nkaja kugundua mshahara pale ni 2M kiukweli leo nimetembea kwa miguu kutoka buguruni ad Pugu uku naongea mwenyewe njiani

Pole sana ndugu yangu. Rejection is a part of this life. Wote tunapita humo humo. Unaanguka unanyanyuka unajikokota tena, mlango mmoja ukifungwa unajaribu kugonga mwingine. No easy task bro. Inabidi ukomae hivyo hivyo tu mtoto wa kiume.
 
Hawa M-Bet wamenifanya kwa mara ya kwanza kabisa maishani nishabikie Barcadogs (at least kwa kesho)

Nimeweka mkeka wa 100,000/= hapa:
Barca akishinda nakula 1,200,000/= (1.2 Mil)
Madrid akishinda nakula 170,000/= (170k)
Kwakuwa natafuta hela, naombea Barcadogs washinde tu.
Acha uzwazwa mama yangu
 
Nna uchungu sana leo mashabiki wenzangu wa Barcelona dah ata El Classico sijui kama ntaangalia na itakua match ya kwanza ya Barcelona toka ligi iianze kuikosa kuiangalia.
Naitakia Barcelona kila la heri
Daaah pole sana mkuu
 
Tetesi
Kiungo wa kati wa Barcelona na Hispania Sergio Busquets, yupo kwenye rada za Manchster City kwa dau la Paundi milioni 50 na Yaya Toure. (Daily Star)
Huyo mchezaji hawezi kuuzwa hata siku moja, na unaweza ulizia pale Camp nou unashangaa unaambiwa hakuna mchezaji mweny jina hilo Barcelona
 
Sergio Busquets Burgos (Catalan: [busˈkɛts], Spanish pronunciation: [ˈserxjo βusˈkets]; born 16 July 1988) is a Spanish professional footballer who plays as a defensive midfielder for FC Barcelona and the Spain national team.

Source Wikipedia

hii Wikipedia ya nini sasa mbona unanukuu mkuu?
 
Sawa
Ngoja tusokuwa na dstv tuzame mabandani leo mapemaaaaa!!!!
Siwezi kucheki gemu ya mbele inayokomentiwa kwa kiswahili Azam

Mimi huwa na live stream mkuu, na ka pc full burdani..
iyo bando ni ya simu atii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom