Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mechi haifai kuangalia home kabisa.Sawa
Ngoja tusokuwa na dstv tuzame mabandani leo mapemaaaaa!!!!
Siwezi kucheki gemu ya mbele inayokomentiwa kwa kiswahili Azam
KabisaHii mechi haifai kuangalia home kabisa.
Mkuu na mm nielekeze namna ya kustreamMimi huwa na live stream mkuu, na ka pc full burdani..
iyo bando ni ya simu atii [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo haponi MTU Barcelona anashinda
Mkuu na mm nielekeze namna ya kustream
Inaonekana kama 442 tu ila jamaa wanapredict itakuwa 4312 paulinho akiwa kama advanced playmaker. Au inaweza kuwa hybrid ya 433 kwenye kuattack na 442 kwenye kudefend. Vyovyote vile sioni RM wakipona.
Asante mkuuUtaingia website hii humo kuna channel kadha wa kadha utajichagulia mwenyewe
Barcelona vs Real Madrid Live Streaming
Ata kwa simu una stream
Viva barcaAsante mkuu
Sioni tunaruhusu goli hata moja na foward zao mbovu MadridInaonekana kama 442 tu ila jamaa wanapredict itakuwa 4312 paulinho akiwa kama advanced playmaker. Au inaweza kuwa hybrid ya 433 kwenye kuattack na 442 kwenye kudefend. Vyovyote vile sioni RM wakipona.
Katika hapo na OG moja aseeMy Prediction;
Barca 3-1 Madrid
Messi, 2
Sua, 1
I concurMy Prediction;
Barca 3-1 Madrid
Messi, 2
Sua, 1