Nna uchungu sana leo mashabiki wenzangu wa Barcelona dah ata El Classico sijui kama ntaangalia na itakua match ya kwanza ya Barcelona toka ligi iianze kuikosa kuiangalia.
Naitakia Barcelona kila la heri
Hamna ndugu yangu, punguza ukali wa maneno ndugu. Mi ni fresh Graduate nimefail interview round ya mwisho kabisa na nkaja kugundua mshahara pale ni 2M kiukweli leo nimetembea kwa miguu kutoka buguruni ad Pugu uku naongea mwenyewe njianiUchungu wa nini, unakwenda kuzaa?
Hamna ndugu yangu, punguza ukali wa maneno ndugu. Mi ni fresh Graduate nimefail interview round ya mwisho kabisa na nkaja kugundua mshahara pale ni 2M kiukweli leo nimetembea kwa miguu kutoka buguruni ad Pugu uku naongea mwenyewe njiani
Acha uzwazwa mama yanguHawa M-Bet wamenifanya kwa mara ya kwanza kabisa maishani nishabikie Barcadogs (at least kwa kesho)
Nimeweka mkeka wa 100,000/= hapa:
Barca akishinda nakula 1,200,000/= (1.2 Mil)
Madrid akishinda nakula 170,000/= (170k)
Kwakuwa natafuta hela, naombea Barcadogs washinde tu.
Daaah pole sana mkuuNna uchungu sana leo mashabiki wenzangu wa Barcelona dah ata El Classico sijui kama ntaangalia na itakua match ya kwanza ya Barcelona toka ligi iianze kuikosa kuiangalia.
Naitakia Barcelona kila la heri
Sio kweli mkuu, Sergio anaheshimiwa sana pale Camp nou na mchango wake unatambulika sanaSergio Busquets is the unsung hero of Camp Nou. He's here to stay.
Kwa mtu asiefahamu mpira vizuri hawezi kuona umuhimu wa Busquets uwanjani.
He's a BEAST!
Huyo mchezaji hawezi kuuzwa hata siku moja, na unaweza ulizia pale Camp nou unashangaa unaambiwa hakuna mchezaji mweny jina hilo BarcelonaTetesi
Kiungo wa kati wa Barcelona na Hispania Sergio Busquets, yupo kwenye rada za Manchster City kwa dau la Paundi milioni 50 na Yaya Toure. (Daily Star)
Huyo mchezaji hawezi kuuzwa hata siku moja, na unaweza ulizia pale Camp nou unashangaa unaambiwa hakuna mchezaji mweny jina hilo Barcelona
hii Wikipedia ya nini sasa mbona unanukuu mkuu?Sergio Busquets Burgos (Catalan: [busˈkɛts], Spanish pronunciation: [ˈserxjo βusˈkets]; born 16 July 1988) is a Spanish professional footballer who plays as a defensive midfielder for FC Barcelona and the Spain national team.
Source Wikipedia
hii Wikipedia ya nini sasa mbona unanukuu mkuu?
Messi bhanaNatamani Paulinho afunge kuliko mchezaji wowote ktk mechi ya leo
Saa Tisa kamili alasiliWadau wenzangu, mechi itakua saa ngapi kibongo
Saa Tisa kamili alasili
SawaOyooo, asante asee... wacha niandae bundle la 4g kabisa ♂️♂️♂️
Japo mechi itakua ngumu lazima tuwagonge
Sawa
Ngoja tusokuwa na dstv tuzame mabandani leo mapemaaaaa!!!!
Siwezi kucheki gemu ya mbele inayokomentiwa kwa kiswahili Azam