FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

-Kwa pamoja tuungane kuishabikia Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid ktk hatua ya Robo fainali.
-Kushabikia kwako ni muhimu sana fan wa Barcelona kwa Atletico dhidi ya Real Madrid.
 
-Ibrahimovic amepigwa ban ya mechi 4.
-kwahiyo kwenye mechi ya PSG dhidi ya Barcelona hatakuepo.
 
Teh teh teh......Unamuogopa eeh Ibracadabra?
Hatacheza first leg kwa sababu ya red card ya kinafiki aliyopewa kwenye match ya chelsea na si kwa sababu ya hiyo ban ya jana........umeingiwa woga mpaka unatoa facts kichwani kwako
 
-kwa pamoja tuungane kuishabikia atletico madrid dhidi ya real madrid ktk hatua ya robo fainali.
-kushabikia kwako ni muhimu sana fan wa barcelona kwa atletico dhidi ya real madrid.

tupo pamoja mkuu
 
Teh teh teh......Unamuogopa eeh Ibracadabra?
Hatacheza first leg kwa sababu ya red card ya kinafiki aliyopewa kwenye match ya chelsea na si kwa sababu ya hiyo ban ya jana........umeingiwa woga mpaka unatoa facts kichwani kwako

Fact gani nimedanganya?
 
-Nimeangalia BBC Swahili na habari za Star Tv sijaona wakitangaza hiyo habari, una uhakika ni kesho?

Ni kesho Daddy sikiliza na redio hata mimi nilikuwa nabisha badaye nikaskia kwenye redio kipind cha michezo efm na Clouds.
 
Heeeee!!! Na nini Daddy?

-Binti yangu wa pekee, uliyenigharimu kwa vitu vingi sana kama shule, mavazi, chakula, kumbi za starehe, vocha n.k
-Unajitoaje ufahamu na kushabikia Man U!!!!!!!!?????
 
Hahahaha!!! Daddy mapenzi yangu nilianza toka enzi zile tuko na Sir Alex Ferguson wewe mwenyewe unajua jinsi gani dunia ilivyokuwa ikifurahia soka zuri miaka hii kina Moyes wakatuharibia, si haba LVG anajitahid, bas Daddy ndo hivyo tena nilishapenda lakini si unaona sijasahau nyumbani angalau nina vichembe chembe vya Barca, mtoto wa nyoka ni nyoka usijal siku moja naweza kurud home mazima.
 
-hahahahahahahahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom