FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kweli soka mchezo wa ajabu sana dakika ya 94 heshima inagongelewa muhur wa moto
 
Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, 2-0

Goli namba 400

ImageUploadedByJamiiForums1429372943.663957.jpg
 
niliingia kule jukwaa la wapinzani wetu wameanza kunitukana eti nisiingie kule niende jukwaa la siasa kisa nimejibu maneno waliosema sasa nawaombea dua jumatano wayaage mashindano ua ucl
 
hahahahahahahaah ngoja na mimi niende.
 
Back
Top Bottom