FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

bayern 6-1port full time
porto.jpg
 
Tuombe hii ngoma iende mpaka fainali na kombe lije Camp Nou.
fc porto nini kiliwakuta hata wakabweteka kiasi chote kile unampiga mtu 3 kwako halafu unakuja kupwiga 6 away dah sikufikiria ila hawa bayern tunawataka tukutane nao tulipize kisasi
 
Hongera yetu sote humu, asante sana Neymar with a good assist ya Iniesta na Alves.....
 
fc porto nini kiliwakuta hata wakabweteka kiasi chote kile unampiga mtu 3 kwako halafu unakuja kupwiga 6 away dah sikufikiria ila hawa bayern tunawataka tukutane nao tulipize kisasi

Walimuotea Bayern siku hiyo wakaushangaza ulimwengu hatimaye leo wamekufa kifo kibaya yaani hadi aibu, mim hata siwataki kabisaaa waishie hiyo hiyo nusu fainaly
 
Back
Top Bottom