FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hivi chebi Vermaelen si ndo mechi yake ya kwanza tokea aje Barca? Suarez bado hajapona?

Wadau naombeni updates zenu bado niko kwenye pilika za maisha.

Yap ni mechi yake ya kwanza pia suarez hayupo wala iniesta hajaanza mascherano bench alba benchi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom