FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hawa mashabiki wa athletic bilabao utafikiri wao ndio walioshinda hahahaaaa wanasherehekea kwa fujo zote
 
Tunahitaji bao la 4 fasta...... Ikibidi Messi aondoke na hat trick yake.
 
Duh!! Hivi vijamaa vina spirit kweli yaani havikati tamaa...... Pamoja na mashabiki wao full shangwe
 
neymar anawapiga kanzu jamaa wanamfanyia faoul halafu wanataka kumpiga
 
Hahaha Neymar anafanya darizi la hatari...

Jamaa wanamind mbaya maana ni aibu hii...
 
Back
Top Bottom