PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
hatimae Barcelona wamewapiga Seville goli 5 huku King Messi akitupia goli kali mbili za free-kick na kuwa mabingwa wapya wa UEFA SUPER CUP Ikumbukwe kwa mwaka huu Barcelona tumebeba kombe 5 tukibakisha 2 tutimize 7nyie endeleeni na mabonanza sie tunabeba ndoo na la kucurahisha zaid leo Messi ni Man of the match Visca el Barca