Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ever nini kinaendelea hapa!? ligi si ilikuwa inaanze tar 23!? nimeenda kushangaa ngoma yenu na aston villa kumbe home kunaungua.Visca el Barca........
kocha kafanya nini tena mkuu?ujinga wa kocha alotufanyia leo itakua ndio fundisho katika mechi zinazofata
Visca el Barca........
Hahaaaaaaa.... Nasikia yule Messiah wa soka na safu yake haikuwepo 😀😀:
Btw. Pole sana mtani maana hata kule uefa mliponea chupuchupu
Mtani aibu acha tu!!!!! Naona kama ndoto vile ila anyway ndo mpira ila tusubiri marudiano pengine tutajilipizia kisasi. Ila kocha alifanya mistake kidogo kwenye first eleven yake.
ever nini kinaendelea hapa!? ligi si ilikuwa inaanze tar 23!? nimeenda kushangaa ngoma yenu na aston villa kumbe home kunaungua.
Hebu nipe na yenu, leo usinitibue tafadhali asubuhi yangu sio nzuri.
Mtani aibu acha tu!!!!! Naona kama ndoto vile ila anyway ndo mpira ila tusubiri marudiano pengine tutajilipizia kisasi. Ila kocha alifanya mistake kidogo kwenye first eleven yake.
Tafadhali mtani jiandae kabisa kukwepa ugonjwa wa moyo huu mwaka mchepuko wako hana chake
Mtani Wangu usitabiri Malaya please!!!! Kusema kwamba nibaki njia kuu tu....!!!!....hapana ni kaupepo katupita tu...
Asikutabirie nini???
Uko fasta nimerekebisha mweee!!!!
Mtani Wangu usitabiri Mabaya please!!!! Kusema kwamba nibaki njia kuu tu....!!!!....hapana ni kaupepo katapita tu...
Mtani hadi huku tuombeane Njaa aisee utakuwa hunipendi kabisa....