FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Unadhani nitashangaa, tokea uwe mke wa sangoma sina imani na wewe tenaaaa!!

Hahahaaaaa..... mtakomaaa na team yenu mbovuu... tatizo mesi kazidi ufupi yaani bonge la kioboteeeee...
vipi anzeni kujitetea sasa hivi kabla ya mtanange maana baada ya mtanange ni vigodoroo tuu mimi na my pacha everlenk.
Hivi mnacheza na nani vileee
 
Last edited by a moderator:

Eve hawezi maana si unajua ana mahaba na mchepuko kuliko njia kuu.
 
Last edited by a moderator:
Barca kuwalipa Bilbao inahitaji nguvu za ziada... PNC 1 neymer yupo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Its a world classy game so far. Barcelona ni mabingwa na mafundi wa mpira wa miguu. Hadi raha kuona hii mechi kabumbu linalotandazwa ni la sayari nyingine
 
Back
Top Bottom