FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hata tukifungwa mashabiki tulichokitaka tumekipata. Kwa gemu hii ya vijana wetu hatuna hata haja ya kusikitika kukosa ubingwa. Mpira vijana wanaujua. AM PROUD KUWA FAN WA BARCELONA
 
Barcelona na athletic bilbao kabla ya mechi ya leo wameshakutana mara 52 barcelona akishinda mara 33 draw 11 na kapoteza 8.

Kwa upande mwingine athletic bilbao katika mechi 52 kashinda 8 kafungwa 33 katoa draw 11.
 
Back
Top Bottom