SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Uko sahihi ila wewe timu gani??
LA Galaxy kaka kwa Robbie Keane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi ila wewe timu gani??
Kipi hicho best?
4 - 1 Barca
pnc usiwe na wasi bravo is back maana huyu dogo ter stegen naona amekuwa mchecheto siku hizi huenda kesho bravo atakuwa yupo on group na pia mashabiki wa man u wasikupe shida zile 4 tulizopigwa na celta vigo juzi kweli zinasumbua akili ila hiyo ndio la liga manaake wa epl hua wanasema oooh barca akienda kucheza tayari watu hua wanajiandaa na sherehe ya ushindi sasa nafikiri leo wameona kua laliga hakuna timu mbovu wakumbuke kwamba madrid gem yao ya mwanzo wali droo 0-0 na timu ambayo ilitokea daraja la pili kesho tunampa mtu nyingi ila hawatabiriki hizi timu zinazotokea daraja la pili hua zina ari sana hususan wanapokutana na timu kubwa kama barca ila pale camp nou hatumwi mtoto shambani kwa babu ushindi lazima visca el barca
leo karibia watu elfu 99 watakuwa wanaimba cant del barca, na hivi tuna hasira ya jtano!LADIES AND GENTLEMEN TUNAWAKARIBISHA NOU CAMP MAJIRA YA SAA 11 JIONI KWENYE SHEREHE YA MABAO ss ndio fc Barcelona habar ya dunia WAPINZANI MTASUBIRI SANA
leo karibia watu elfu 99 watakuwa wanaimba cant del barca, na hivi tuna hasira ya jtano!
Yani usipime mkuu nikitafakar mechi ya leo nawaonea huruma hawa Las palma
mechi iliyopita walimpiga sevilla 2 mtungi.
Barcelona 1 Luis Suarez