good96
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 519
- 539
Heshima kwa King messi
He is back
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwa King messi
kuna watu waliposkia barca tumepigwa ban wakafurahi sana kumbe hawakujua kwamba barca tunakuza vipaji hao hao waliopo ndio watakao kuja na ushindi ban kwetu si kikwazo wao wamenunua wachezaji wangapi matokeo yake wanakula vichapo visca el barca
Jamani Roberto kaimia kukosa mechi ya weekend hii
Jamani Roberto kaimia kukosa mechi ya weekend hii
Dogo anakuja vzur sana nilikuwa nawakubal na rafinha pia halilovic japo huyo bado yupo la masia
Huyu halilovic yupo sporting gijon
Si yupo kwa mkopo??
Yap mkuu n kwa mkopo
Acha apate uzoefu atarudishwa coz hiyo club hata Luiz Enlique alichezea