FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mwambie akakate rufaa SS NDIO BARCELONA na hakuna timu ya mpira kubwa duniani ambayo haijakutana na makal ya Barcelona
 
hamna cha offside hapo
attachment.php
 
Attachments

  • sur.PNG
    sur.PNG
    125.2 KB · Views: 315
In CL this season:
Cristiano = 11 Goals
Neymar + Suarez + Messi = 9 Goals.

#King
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu PNC 1 vp neymar atakua nje muda gani
dah, mbona balaaa. na weekennd tuna deportivo ambao wako kwenye form. haijajulikana atakaa muda gani. ni muda wa Munir na Sandro kutuonyesha walichonacho
 
dah, mbona balaaa. na weekennd tuna deportivo ambao wako kwenye form. haijajulikana atakaa muda gani. ni muda wa Munir na Sandro kutuonyesha walichonacho
Daaaah aisee Neymar ni pengo ila cjapenda halilovic kupelekwa kwa mkopo kwani ndio ingekuwa muda wake muafaka wa kuonyesha makal
 
Daaaah aisee Neymar ni pengo ila cjapenda halilovic kupelekwa kwa mkopo kwani ndio ingekuwa muda wake muafaka wa kuonyesha makal
pengo kubwa sana. jamaa bado mdogo wamemuacha akuekue mpaka june mwakani. hivi song atarudi kweli barca?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
pengo kubwa sana. jamaa bado mdogo wamemuacha akuekue mpaka june mwakani. hivi song atarudi kweli barca?

Aisee kwa Song sizani 7b bado wiki 3 tumalize adhabu hivo na huu ujio wa Arda Turan na Aleix Vidal Song atakuwa hana lake tena kwani pia tuna damu changa nyingi La Masia
 
Back
Top Bottom