Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatapatapa achana nao hao mkuuhamna cha offside hapo
![]()
In CL this season:
Cristiano = 11 Goals
Neymar + Suarez + Messi = 9 Goals.
#King
Weka na La Liga!In CL this season:
Cristiano = 11 Goals
Neymar + Suarez + Messi = 9 Goals.
#King
Weka na La Liga!
Leo ndiyo Leo FC BARCELONA wakiwa away na Bayer Leverkusen Mechi ni SAA 4:45 kwa mida ya East Africa ila kule Brazil itakuwa saa 8 mchana na pale Kuwait ni SAA 11 asubuhi na huku Indonesia ni saa 9 alasir Viva MSN Viva Barcelona atoto cute b everlenk chebi good96 Aleyn Danny green fredericko pingldea WAHEED SUDAY Red Giant na hata Invisible nawe karibu mida hiyo uondoe uchovu kwa soka mwanana
dah, mbona balaaa. na weekennd tuna deportivo ambao wako kwenye form. haijajulikana atakaa muda gani. ni muda wa Munir na Sandro kutuonyesha walichonachoMkuu PNC 1 vp neymar atakua nje muda gani
dah, mbona balaaa. na weekennd tuna deportivo ambao wako kwenye form. haijajulikana atakaa muda gani. ni muda wa Munir na Sandro kutuonyesha walichonacho
Soka lenye mvuto
Daaaah aisee Neymar ni pengo ila cjapenda halilovic kupelekwa kwa mkopo kwani ndio ingekuwa muda wake muafaka wa kuonyesha makaldah, mbona balaaa. na weekennd tuna deportivo ambao wako kwenye form. haijajulikana atakaa muda gani. ni muda wa Munir na Sandro kutuonyesha walichonacho
Lakini sidhani kama ni jeraha kubwa
pengo kubwa sana. jamaa bado mdogo wamemuacha akuekue mpaka june mwakani. hivi song atarudi kweli barca?Daaaah aisee Neymar ni pengo ila cjapenda halilovic kupelekwa kwa mkopo kwani ndio ingekuwa muda wake muafaka wa kuonyesha makal
pengo kubwa sana. jamaa bado mdogo wamemuacha akuekue mpaka june mwakani. hivi song atarudi kweli barca?