FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu nahitaji program nzuri ya kuchek mechi.live stream katika cm, program ipi nzuri?
cheki hii ila sina uhakika kama itafunguka katika simu jaribu kwanza kuangalia video ambazo zipo hapo za mechi zilizopita then uje na feedback
 
...kesho game yenu na Celta Vigo mkishinda mtajiweka pazuri kutetea ubingwa.Jamaa wamekuwa wanawasumbua siku za karibuni.
 
Back
Top Bottom