good96
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 519
- 539
Kupitia vijana wa Prof dunia itajua tiki-taka ya barca ni ninijmosi 12 jioni watakuwa Africa(Canary) kukipiga na palmas. bila shaka wakina Mathieu, Adriano, Munir, Varmalean, et al watakipiga siku hiyo ili next week tuwe fresh tunapoionyesha dunia kucheza tiki-taka.