FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

MAMBO 18 ALIYOFANYA JOHAN CRUYFF BARCELONA:-
1.Alitokea katika akademi ya Ajax na kununuliwa na Barcelona

2.wakati akiwa anaichezea Barca aliwahi kutishiwa na mfalme wa Hispania Dictator Franco kwamba ahame Barca na ajiunge na R.Madrid lakini alikataa.

3.Alisifika kwa style ya kuuzungusha mpira nyuma kwa mguu mmoja huku mwingine ukiwa mbele, style ambayo ilikuwa ngeni katika miaka ya 70 na inatumika mpaka sasa.
☝Zizou ameitumia sana.

4.Ndiye aliyeanzisha penati assist ambayo Messi aliipiga juzi pamoja na Suarez.
=kipindi Cruyff anaichezea Barca ndiye aliyeanza kuipiga akiwa na mchezaji mwenzake katika miaka ya 70.
Messi aliirudia juzi akiwa na Suarez ikiwa ni moja ya dedication ya kumuenzi Cruyff kutokana na taarifa zilizozagaa siku hiyo kuhusu tatizo lake la kansa.

5.Alishinda tuzo ya uchezaji bora wa dunia mara 3 mfululizo akiwa na Barcelona (balon d'or kwa sasa)

6.Baada ya kustaafu mpira akiwa kama mchezaji wa Barcelona alirudi kama kocha wa Barcelona

7.Ndiye aliyetoa wazo la kuanzishwa kwa chuo cha kukuza vipaji vya watoto wadogo (La Masia) ambapo wazo hilo aliiga toka akademi ya Ajax

8.Ndani ya muda mfupi tu Barca chini ya Cruyff iliweza zalisha vipaji vingi toka La Masia kama Eusebio Sacritus, Pep Guardiola, Andoni Zubizaretta, Angel Nadal na wengineo.

9.Cruyff ndiye mwanzilishi wa mpira wa tiki-taka.

10.Alichanganya staili ya mpira wa Uholanzi uitwao "total football" Uholanzi pamoja na staili yake na kuunda staili mpya ambayo inatumika mpaka sasa pale Barcelona "tiki taka"
☝ndiye baba wa tiki taka

11.Akiwa kocha mkuu wa Barcelona Johan Cruyff aliiwezesha klabu ya Barcelona kupata vikombe vingi kikiwemo kikombe cha kwanza cha Uefa iliyopata klabu hiyo mnamo mwaka 1992

12.kikosi cha Barcelona kilichokuwa chini ya Johan Cruyff kiliitwa "Barcelona The Dream Team" na kilitisha duniani kote.

13.Cruyff aliamua kuondoka Barcelona huku akiacha nembo yake katika klabu na historia kubwa ambayo haitakaa isahaulike.

14.Cruyff alipewa uraia na nchi ya Uhispania na kuwa na makazi maalumu katika jiji la katalan.

15.Cruyff amejenga academy mbili, moja iko Barcelona na nyingine ipo Uholanzi.

16.Cruyff alikuwa mshauri wa klabu ya Barcelona mpaka mauti yalipompata.

17.Amefariki kwa ugonjwa wa kansa.

18.Amefariki akiwa na miaka 68

☝Barcelona ni cruyff na Cruyff ni Barcelona

Ulimwengu mzima wa soka unaomboleza kwa kifo cha Johan Cruyff..

*Football Legend

Para etern señor Johan Cruyff
 
Hasta la mañaña el etern señor Johan cruyff.

Visca Barca.
 
Hyo namba 5 umekosea mkuu, alishinda Balon d'or kama mchezaj bora wa ulaya sio wa Dunia
 
Namba 5: alishinda Uchezaji bora wa dunia mara 3 na mara mbili mfululizo akiwa Barcelona na mara moja akiwa ajax
 
Bro Balon d'or kipind hcho ilkuwa kwa mwanasoka bora wa ulaya imebadlishwa juzi juzi tu baada ya hlo jarida kuvunja mkataba na uefa na kuingia Mkataba na FIFA na sasahiv hyo tuzo inaitwa FIFA Balon d'or
 
Mkuu mm cjakataa ila nilifanya marekebisho kidogo
 
Screenshot_2016-03-26-00-48-22-1.png

Screenshot_2016-03-26-13-28-50-1.png
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni miongon mwa history mzr ambayo msikilizaj WA michezo endapo akiipata atafurah Sana

HISTORIA YA MAPENZI YA LUIS SUAREZ:

Mke wa Suarez anaitwa Sofia Balbi.

Kipindi wakiwa wadogo Sofia alikuwa akiishi na familia yake yaani baba yake na mama yake nchini Uruguay

Baba yake Sofia alikuwa balozi wa Uhispania nchini Uruguay, hivyo Sofia alikuwa mtoto wa balozi.

Alianza kuwa rafiki wa Suarez walipokuwa wakisoma shule ya watoto wadogo kule Uruguay.

Walipendana sana kipindi hicho lakini Hispania ilimteuwa balozi mwingine wa kuwaikilisha kule Uruguay hivyo muda wa baba yake Sofia kuwa kama balozi kule uliisha hivyo ilimpasa arudi Hispania.

Sofia pamoja na mama yao iliwapasa kurudi pia

Suarez aliumia kuachana na Sofia kipindi kile ila alimuahidi Sofia kwamba siku moja atakuja Ulaya wawe tena pamoja. Na kitu pekee kitachomfanya aende Ulaya nikwa kucheza mpira

Hivyo Suarez alianza kujituma katika kucheza soka atajitahidi ili aweze kwenda Ulaya akutane tena na Sofia.

Kama zali, Suarez alifanya vizuri kule Uruguay maskauti wa klabu ya Ajax ya kule Uholanzi wakamuona

Suarez akanunuliwa kama kinda katika chuo cha kukuza vipaji cha Ajax na akaweza kufika Ulaya.

Haikuchukua muda Suarez akaanza kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha Ajax na alipoanza kupata fedha alifunga safari na kwenda Hispania.

Kumbe Sofia kwao ni Barcelona hivyo Suarez alitia timu mpaka katika jiji la Barcelona lililopo Catalan.

Upendo wa Suarez na Sofia ulirudi tena na wakawa wapenzi rasmi

Suarez alianza taratibu za kumposa Sofia na alifanikiwa kuwa naye.

Suarez alihamia Liverpool alimuoa Sofia rasmi na wakaanza kukaa pamoja kule England.

Sofia kashamzalia Suarez watoto wawili mpaka sasa ambapo mmoja kati yao anaitwa Benjamin.

Walipokuwa pamoja katika jiji la Liverpool na kutengeneza familia Suarez na mkewe (Sofia) walikuwa wakienda kwa wakwe kule Barcelona kuwasalimia wazazi wa Sofia.

Kuna siku wakati Suarez akipita pembeni mwa uwanja wa Camp Nou aliwaambia wakwe zake kwamba "kuna siku nitakuja kuichezea Barcelona, na nikiichezea nitakuja kuishi kabisa hapa nyumbani"

kauli hiyo iligeuka kweli tena mwaka 2014 pale Suarez aliponunuliwa na Barca mwezi Juni majira ya kiangazi.

Ndo maana kauli ya kwanza ya Suarez alipokuja Barca akitokea Liverpool alisema hivi "niliposikia Barcelona inanihitaji sikutaka kufikiri mara mbili, hii nchi ya ina historia kubwa maishani mwangu, na hii sehemu ndo iliyoniibia kipenzi cha maisha yangu. Hii sehemu ilinipa pia motisha katika soka hadi nikafika hapa nilipo, pia kuichezea Barca ilikuwa ni moja ya ndoto za maisha yangu"

Ndo maana kipindi alimesajiliwa na Barca lakini akakatazwa kujiunga na mzoezi ya timu kutokana na kifungo alichokuwa nacho toka kwa FIFA alikuwa akifanya mazoezi mtaani kule Catalan kwakuwa alikuwa akilala kwa wakwe zake pale Barcelona

Suarez sahivi kapanga apartment yake Barcelona nando anapoishi na mkewe pamoja na watoto wake hivyo hakai tena kwa wakwe.

*KUPITIA HII HISTORIA YA SUAREZ NDO NINAPOAMINI USEMI USEMAO KUWA "PALIPO NA MAFANIKIO YA MWANAUME MWANAMKE YU PEMBENI YAKE!! NASHAURI ISOMWE IREKODIWE THEN IRUSHWE KWENY SPORT
 
Geremy Mathiew jana alifanyiwa Sub kutokana na Injury aliyoipata baada ya kucheza kwa dakika 10 tu kwenye mchezo wa jana

Speedy recovery Babu Mathiew

Get well soon Babu Mathiew.

Haijafahamika kama atapatikana katika mchezo ujao au La..Tusubiri.

Pia Jana Lionel Andress Messi jana alifunga goli lake la 499 kwa mkwaju wa Penalti..Ambao uliopelekea Argentina kumaliza mechi kwa ushindi wa Mabao 2 kwa 0
Kisha Messi akafanya mahojiano mafupi na akaeleza furaha yake na nini matarajio yake juu ya mchezoujao[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Messi; ''It would be beautiful to get my 500th career proffesional goal against Real madrid''

Messi;''We have been to two concecutive in the finals and In the Copa America, we are looking to be in the third,Hopefully we can win it''.

Messi;''I am happy and grateful for the affection of the people in Cordoba''
Kisha kocha mkuu wa Fc Barcelona alinukuliwa jana baada ya mchezo wa Argentina kumalizika kuwa anayo furaha kuona mechi ikiisha kwa wachezaj wake kuwa salama na ana Iman watarejea mapema kwa ajili ya maandaliz ya mchezo ujao...Utakao wakutanisha mahasimu wa Soka barani Ulaya.
 
Leo Messi scored his 50th goal for Argentina..

Arda Turan scored a winner goal for Turkey...

Dani Alves scored late equalizer goal for Brazil...

It seems that Barcelona players are ready for Elclasico
 
Back
Top Bottom