PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Sawa mkuu kumbuka kiwahi ukichelewa kidogo utakuta 3:0Nimeupata tutaonana kesho 21:30 mda wa game hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu kumbuka kiwahi ukichelewa kidogo utakuta 3:0Nimeupata tutaonana kesho 21:30 mda wa game hiyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]uwez mfananisha MESSI na CR7 Mess myafutaji na huyo anasubit kuletew ndo maan anaitwa nyama
Mi nawaombea wasonge mbele ili tujs tujengeane heshima UEFA![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kiukweli binafs nisiwe mnafiki huwa siipend man u hivyo kama big 4 mtafaulu au mshindwe kwangu yote sawa japo maombi yangu mshuke hata daraja [emoji4] [emoji4]
Ahahahahahahahahahahahahaha!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee nakumbuka siku ile baada ya Rooney kusawazisha nilisikia mgongo umekufa ganzi Kugeuka nyuma naangalia kimetokea nini nakuta mwingine anajikok kunipa kofi la pili Aiseee ndio mana siipend man u yani mashabik wake mpira wanauona kama vita
Uzur wa man u hata tukiingia 6 uwanjani hawawez tufungaMi nawaombea wasonge mbele ili tujs tujengeane heshima UEFA!
Ichambue Copa del ray final kati ya sevilla vs Barcelona[emoji2] [emoji2] [emoji2]nn nichambue ten maan.nipo vizuriii niambien
Endelea kuchambua juu ya Messi na Ronaldo.nn nichambue ten maan.nipo vizuriii niambien
Ahahahahahahahahahahahahaha!!!Uzur wa man u hata tukiingia 6 uwanjani hawawez tufunga
Wewe ni Barcelona mwenzangu ila uchambuz wako huu siukubali hata kidogo[emoji53] [emoji53]Bacerlon na wao kama watacheza bila ya umakin flan wanaweza kuja kosa kommbe maan kama sevilla na wapo vizur. Usishangae kuona barca wanatoka rob final thid ya diogo simion
Tiki-taka philosophy hairuhusu goal kufungwa nje ya 18,kama vipi unatakiwa uingie ndani ya nyavu na mpira ukiwa umenasa mguunironaldo ni mzur kwa mawe ya nje 18 kuliko mess
We sio mchambuzi, embu tulia sasa. Nilitaka nikuunganishe na Azam Sports HD ila nakuona hamna kitu.Bacerlon na wao kama watacheza bila ya umakin flan wanaweza kuja kosa kommbe maan kama sevilla na wapo vizur. Usishangae kuona barca wanatoka rob final thid ya diogo simion