FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi anaua timu kabisa,hapa atolewe aingie sergi roberto
 
Red card Haina madhara Sana kwa Atleti kipindi cha pili zitapigwa counter attack hapa. Mtaniambia sasa hivi wanarelax tu
 
Red card ya halali kabisa tena yeye hajalalamika ila huyu bitoz na pagan wanalalamika
Mzee Mbashalona unanifurahishaga sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kocha wa atletico aliweka mikono kichwani wewe ni nani unayelalamika
 
Messi anaua timu kabisa,hapa atolewe aingie sergi roberto


Luis Enrique amtoe Messi hataki kazi? Messi is more important Than Barcelona itself (pamoja na wachezaji wote, management, mashabiki na uwanja wa Camp Nou). Haguswi yule.
 
Barcelona lini mtaacha kubebwa? Rushwa inaharibu Football.
Hata ingekuwa mimi ningeibeba'mfano barca akienda final na buyern mapesa yatakuwa mengi kuliko barca kwenda final na timu kama psg sasa kwa nini nisiibebe barca
 
Naona barca mmeanza figisu mkuzidiwa lazima red card? Mnaboa leo mkiambulia sana sare tu
 
Barcelona wanazid kushambulia kwa kasi nategeme goli nyingi kipindi cha pili
 
Huyu kipa sio

Msimlaumu kipa, rudia kuangalia lile goli uone Torre mjanja Sana, kulikuwa na mabeki wanne pale. Lakini wote hawakumuona, ni uzembe wao. Subiri Griezman atatupia kama lile
 
Back
Top Bottom