eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Its time to leave!!! Hahahaa Hapo mpaka anazeeka yule mnae tuMessi kashachoka,it's time to leave nou camp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its time to leave!!! Hahahaa Hapo mpaka anazeeka yule mnae tuMessi kashachoka,it's time to leave nou camp
Jaribu kupunguza midadi usije jipiga selfie ya fastBarcelona wanazid kushambulia kwa kasi nategeme goli nyingi kipindi cha pili
Tutafurahi tuu hata sare ni matokeoFurahini sasa ila sare inaisha
Hana pace,kawa mvivu kukaba akipoteza pasi,accuracy imepungua,kifupi hatishi tena,aondoke au awe anapewa muda mdogo tu uwanjaniIts time to leave!!! Hahahaa Hapo mpaka anazeeka yule mnae tu
Mpaka leo hujajua michezo ya atletico basi mpira umeanza kufuatilia juzi. La Liga nzima wanajulikana kwa rafu na michezo ya kibabe. Hapo wamepunguza kidogo baada ya kuondoka costaAtletico wote wamepewa kadi. You gotta love This ref.
Wakwapi hawa wenye kelele ka vyura, na bado
Pole Pole mkuu umeme utakatika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Suareeeeeeeeeez wanyeeeee mnyeee pagan mnyeeee the name mnyeeeeee bitoz. Mnyeee root mnyeeeeee nkuwi wanyeeeeeewe haters