Yasin21
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 667
- 402
Hahaaaaa huyu jamaa alikuwa kalala nini?
Game ni next week mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game ni next week mkuu.
Amecheza ila net ballUshawahi kucheza mpira?
Nimecheza sana tu, kwan kuna nn!!?Ushawahi kucheza mpira?
Kama mchezaji ana njano tayari na kacheza rafu ya nyuma ni nini kinafuata?Nimecheza sana tu, kwan kuna nn!!?
Rafu ya nyuma ni mara nyingi straight red mbali na kuwa na njano, ila hii ya torres its like busqet kaweka upaja, naona ni ilipaswa ikuwe foul ya kawaida bac, ni maoni yangu mkuu hongera kwa ushindi alfKama mchezaji ana njano tayari na kacheza rafu ya nyuma ni nini kinafuata?
Mkuu...kumbuka huyo ni binadamu siyo mashine!Messi kashachoka,it's time to leave nou camp
Ningeshangaa usingetoa uchambuz wako usio na mantiki 7bu ulikuwa mstar wa mbele kusema Atletico atafika finalFelix Brych...ameiharibu radha ya hii game, kuanzia dakika ya 36 baada ya red card ya Torres mwelekeo wa game ulikuwa si mzuri sana ulikuwa mchezo wa upande mmoja na pia bado Mjerumani huyu aliendelea kugawa kadi kama njugu kwa player wa Atletico, mpaka game inaisha kadi nane 8 za njano na moja nyekundu zilitolewa kwa upande wa Atletico Madrid huku watatu tu wa Barca ndio waliozawadiwa kadi. Ni kweli kuwa Atletico huwa wanacheza taff game lakini bado mwamuzi alitekwa na tabia ya wachezaji wa Barca kumzonga kila mara, na kiukweli walifanikiwa kuteka akili yake. Mara nyingine UEFA wawe wanaangalia ktk uteuzi wao wa waamuzi ktk game taff kama hii, nafikiri referee toka EPL hii game ingemfaa sana. Nieleweke sisemi kuwa mwamuzi alikuwa upande wa Barca Nooo, but game ilimshinda.
mwenzako amekaa darasani kupata cheti cha FIFA, kama kweli kadi hawakustahili tutasikia msimamo wa UEFA.Felix Brych...ameiharibu radha ya hii game, kuanzia dakika ya 36 baada ya red card ya Torres mwelekeo wa game ulikuwa si mzuri sana ulikuwa mchezo wa upande mmoja na pia bado Mjerumani huyu aliendelea kugawa kadi kama njugu kwa player wa Atletico, mpaka game inaisha kadi nane 8 za njano na moja nyekundu zilitolewa kwa upande wa Atletico Madrid huku watatu tu wa Barca ndio waliozawadiwa kadi. Ni kweli kuwa Atletico huwa wanacheza taff game lakini bado mwamuzi alitekwa na tabia ya wachezaji wa Barca kumzonga kila mara, na kiukweli walifanikiwa kuteka akili yake. Mara nyingine UEFA wawe wanaangalia ktk uteuzi wao wa waamuzi ktk game taff kama hii, nafikiri referee toka EPL hii game ingemfaa sana. Nieleweke sisemi kuwa mwamuzi alikuwa upande wa Barca Nooo, but game ilimshinda.
Kama siku ileNafuu jukwaa limetulia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] habar yako mkuu nakusalimu kwa jina la SuarezKama siku ile
[emoji2] [emoji2] [emoji2] asante[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] habar yako mkuu nakusalimu kwa jina la Suarez
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Safiii Barca..... #ForzaBarca
Walikiwa pungufu mmetoa ulimi nje, subiri sasa game ya marudiano
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji81][emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]