Man u ni mashujaakama Barcelona ni jipu man u je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man u ni mashujaakama Barcelona ni jipu man u je?
PNC 1 usiwe unasema ukweli hivyo.teh tehkama Barcelona ni jipu man u je?
mashujaa wa kushika no 5Man u ni mashujaa
Tuliaa uone... top 4 yetumashujaa wa kushika no 5
Labda top 4 ya FA[emoji12] [emoji12]Tuliaa uone... top 4 yetu
Haha hah nimecheka sanaWe ushawahi kufika Barcelona? Jiji limejaa transexuals mpaka utaogopa kuchukua mchumba.
PNC 1 sio wa kumzingatia ni mtu asiyejielewa, kwenye mechi real madrid alisema wakifungwa anaacha kushabikia mpira....hola
mechi ya atletico alisema wakifungwa atajipiga ban....wamepigwa ....hola bado yupo anazururA tuuu humu!
Mwenyewe shaka sina Laliga ni yetu.Nachojua mimi hiki ni kipindi cha mpito. Barca bado tupo imara. Nawaakikishi bila shaka yoyote kuwa la liga tunaitetea. Tuna game tana bado na ni nyepesi sana . 3 tutakuwa away na mbili home. Tuna depotivo, sporting gijon, raal betis, granada na espanyola. Sasa tunashindwaje kuchukua hii ndooo!?
Niwatoe shaka ndugu zangu Aleyn, PNC 1, dada'ngu wa ukweli everlenk, jd41, na wengine.
Mwenyewe shaka sina Laliga ni yetu.
Hivi Man U mnashiriki LA LIGA? PNC njoo unisaidie hapa.Mwenyewe shaka sina Laliga ni yetu.
huyo ni mamluki hatumtaki aende Man u.Hivi Man U mnashiriki LA LIGA? PNC njoo unisaidie hapa.
Atuache na Barca yetu, au unasemaje kiongozi?huyo ni mamluki hatumtaki aende Man u.
hatutaki mamluki haiwezekani mechi iliyopita ana furaha ya Mwanitesa United kushinda sisi majonzi halaf leo atuletee mkosi hukuAtuache na Barca yetu, au unasemaje kiongozi?
Mamluki ndo wanatiaga mkosi ndani ya timu.hatutaki mamluki haiwezekani mechi iliyopita ana furaha ya Mwanitesa United kushinda sisi majonzi halaf leo atuletee mkosi huku
Leo lazma waumbukeMamluki ndo wanatiaga mkosi ndani ya timu.
Naona unanitafuta!!! Nikiongea utapotea humu we haya !!!!!......tuko Spain hatuko OT aliyenitag anajijua msimamo Wangu kazi kwenu mashabiki mandazi.......Hivi Man U mnashiriki LA LIGA? PNC njoo unisaidie hapa.