everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Hahahhahahha poleni sana, wapi imeandikwa Barca ni ya PNC na Aleyn.????huyo ni mamluki hatumtaki aende Man u.
Atuache na Barca yetu, au unasemaje kiongozi?
hatutaki mamluki haiwezekani mechi iliyopita ana furaha ya Mwanitesa United kushinda sisi majonzi halaf leo atuletee mkosi huku
Mamluki ndo wanatiaga mkosi ndani ya timu.
Leo lazma waumbuke