Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa alikuwaga Arsenal ila ni mnafiki.Hivi PNC 1 Ni mshabiki wa barcelona ipi???
maana napata mashaka hapa haelewi ni mchezaji gani yupo fit na yupi ni majeruhi kwenye timu yao!!!
hawa ndio tunaita mashabiki wa kushangilia ushindi tuu, na mkuu barafuyamoto aliwahi kusema hawa jamaa ni mashabiki wa mkopo naona kuna ukweli HAPA!
dissappointed
Too late, toka gepu ya point tisa mpaka zero?? Watadrop tu, hawa vibonde!PAGAN njoo sasa utie fujo
MSN ON FIRE
GO BARÇA
Hata valencia alipigwa sana, kilichofuata naadae pale camp nou hawa hawa valencia unajua walichofanya!Gooool Batra
Barcelona 7:0
kwa taarifa yako basi atuchezi tRNA na hao geant unaowatakaToo late, toka gepu ya point tisa mpaka zero?? Watadrop tu, hawa vibonde!
Valencia is no longer a giant, so is Sociedad!kwa taarifa yako basi atuchezi tRNA na hao geant unaowataka
GO BARÇA
Kama hujui nakujuza Diportivo la Coruna ashatwaa UEFA hvyo ucwazarau sababu Arsenal na kushirik kwao kote UEFA wameambulia kufika final Mara 1Too late, toka gepu ya point tisa mpaka zero?? Watadrop tu, hawa vibonde!