Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suarez kupata ballon d'or hapana kwa kweli. Yule dogo ni mchezaji mzuri lakini hana consistence, leo anacheza vizuri kesho anapotea kabisa.Kama siyo figisu-figisu za FIFA, basi Luis Suarez anastahili kupewa Ballon d'or kwa jinsi msimu wake ulivyokuwa mzuri..
Unaikumbuka game ya real Madrid vs rayo vallecano?? Refa alitoa red card ngap?
Unaikumbuka game ya real Madrid vs rayo vallecano?? Refa alitoa red card ngap?
Suarez hana Consistency??Suarez kupata ballon d'or hapana kwa kweli. Yule dogo ni mchezaji mzuri lakini hana consistence, leo anacheza vizuri kesho anapotea kabisa.
...maskini umeona bora hata ukatengeneze mipicha internet angalau ujiliwaze!,km Barca anatengeneza nafasi nyingi za kufunga,kwa nn wasipate penati nyingi?!La Liga Fact:
Penalties awarded in FAVOUR & AGAINST this La Liga season alone:
Barcelona 19-1
![]()
...umeshindwa kuandika sasa unachora chora tu.! na bado..!!
mtu mwenye goli 34 na assist 15 unataka aweje ili useme ana consistency? haters bwana. tukichukua del rey na la liga suarez atakuwa serious contender kwenye ballon d'orSuarez kupata ballon d'or hapana kwa kweli. Yule dogo ni mchezaji mzuri lakini hana consistence, leo anacheza vizuri kesho anapotea kabisa.
Huna fact unakazi yakuleta picture za kuedit kwann usiongee kwa fact??La Liga Fact:
Penalties awarded in FAVOUR & AGAINST this La Liga season alone:
Barcelona 19-1
![]()
Hapa ndipo huwa natofautiana na watu wengi, unampublish player kisa kafanya vizuri kwenye mechi kadhaa tu.Suarez hana Consistency??
Kwa ST kwenda games 2/3 bila kufunga goal ni kitu cha kawaida sana, but tunaangalia uwepo wake uwanjani una mchango gani..
Messi/Ronaldo kuna kipindi wanakuwa katika bad form, Messi alikuwa off-form hapa katikati but alianza kurudi kwenye ile game ya Valencia na sahiv ameanza kukaa sawa (it happens)..na wakat Messi alipokuwa off-form, MSN yote ilikuwa off-form, naweza nikasema team nzima iliyumba hapa katikati..so suala la consistency sidhan kama linaweza kuchukua nafasi..
Suarez ana goal 33 (BBVA top scorer), goals 52 kwenye competitions zote, more than any other player..so huwez kunambia kuwa mchezaji kama huyo hana consistency..and on top of that kuna suala la Assists..
Best player in the world at the moment.
Suarez ana goals 52, FIFTY TWO GOALS, 21 ASSISTS AND 7 HAT-TRICKS, katika games 49 alizocheza msimu huu..Hapa ndipo huwa natofautiana na watu wengi, unampublish player kisa kafanya vizuri kwenye mechi kadhaa tu.
Mfano suarez baada ya kuscore na kuassist amazingly kwenye mechi mbili za mwisho basi mmeshaanza kumtaja kuwa ni bora. Hapo mwanzo hamkumtaja kabisa, kesho kutwa akitoka tupu au kukosea mtamtukana kama vile hamkuwahi kumsifia.
Ila man city ni mbovuBarcelona inisamehe saaana ila kuanzia saa 3:35 uck nitakuwa kwa mkopo Man city baada ya dk 90 nitarejea
Viva Barcelona Man city piga hao mbwa wazee wa mbeleko
Arse8Li tim lenu lina bebwa kweli
Rushwalona