FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kama siyo figisu-figisu za FIFA, basi Luis Suarez anastahili kupewa Ballon d'or kwa jinsi msimu wake ulivyokuwa mzuri..
Suarez kupata ballon d'or hapana kwa kweli. Yule dogo ni mchezaji mzuri lakini hana consistence, leo anacheza vizuri kesho anapotea kabisa.
 
Unaikumbuka game ya real Madrid vs rayo vallecano?? Refa alitoa red card ngap?

13062415_880004532111919_344997971808620507_n.jpg
 
Unaikumbuka game ya real Madrid vs rayo vallecano?? Refa alitoa red card ngap?

La Liga Fact:

Penalties awarded in FAVOUR & AGAINST this La Liga season alone:

Barcelona 19-1

13082560_250668048620603_2335026209766239731_n.jpg
 
Suarez kupata ballon d'or hapana kwa kweli. Yule dogo ni mchezaji mzuri lakini hana consistence, leo anacheza vizuri kesho anapotea kabisa.
Suarez hana Consistency??

Kwa ST kwenda games 2/3 bila kufunga goal ni kitu cha kawaida sana, but tunaangalia uwepo wake uwanjani una mchango gani..

Messi/Ronaldo kuna kipindi wanakuwa katika bad form, Messi alikuwa off-form hapa katikati but alianza kurudi kwenye ile game ya Valencia na sahiv ameanza kukaa sawa (it happens)..na wakat Messi alipokuwa off-form, MSN yote ilikuwa off-form, naweza nikasema team nzima iliyumba hapa katikati..so suala la consistency sidhan kama linaweza kuchukua nafasi..

Suarez ana goal 33 (BBVA top scorer), goals 52 kwenye competitions zote, more than any other player..so huwez kunambia kuwa mchezaji kama huyo hana consistency..and on top of that kuna suala la Assists..

Best player in the world at the moment.
 
...maskini umeona bora hata ukatengeneze mipicha internet angalau ujiliwaze!,km Barca anatengeneza nafasi nyingi za kufunga,kwa nn wasipate penati nyingi?!
na bado...!!
NEXT...?
 
...naskia christina anatetemeka hospital kisa Suarez!, eti anataka kurudi uwanjani na sindano kwenye makalio!, hataki hata daktari aichomoe!!..
na bado..?
NEXT...?
 
Suarez kupata ballon d'or hapana kwa kweli. Yule dogo ni mchezaji mzuri lakini hana consistence, leo anacheza vizuri kesho anapotea kabisa.
mtu mwenye goli 34 na assist 15 unataka aweje ili useme ana consistency? haters bwana. tukichukua del rey na la liga suarez atakuwa serious contender kwenye ballon d'or
 
Suarez hana Consistency??

Kwa ST kwenda games 2/3 bila kufunga goal ni kitu cha kawaida sana, but tunaangalia uwepo wake uwanjani una mchango gani..

Messi/Ronaldo kuna kipindi wanakuwa katika bad form, Messi alikuwa off-form hapa katikati but alianza kurudi kwenye ile game ya Valencia na sahiv ameanza kukaa sawa (it happens)..na wakat Messi alipokuwa off-form, MSN yote ilikuwa off-form, naweza nikasema team nzima iliyumba hapa katikati..so suala la consistency sidhan kama linaweza kuchukua nafasi..

Suarez ana goal 33 (BBVA top scorer), goals 52 kwenye competitions zote, more than any other player..so huwez kunambia kuwa mchezaji kama huyo hana consistency..and on top of that kuna suala la Assists..

Best player in the world at the moment.
Hapa ndipo huwa natofautiana na watu wengi, unampublish player kisa kafanya vizuri kwenye mechi kadhaa tu.

Mfano suarez baada ya kuscore na kuassist amazingly kwenye mechi mbili za mwisho basi mmeshaanza kumtaja kuwa ni bora. Hapo mwanzo hamkumtaja kabisa, kesho kutwa akitoka tupu au kukosea mtamtukana kama vile hamkuwahi kumsifia.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Suarez ana goals 52, FIFTY TWO GOALS, 21 ASSISTS AND 7 HAT-TRICKS, katika games 49 alizocheza msimu huu..

Sijui kama unaelewa bro..
 
Daah waafrika bhana kutengeneza video za kimbea tu. Eti nao ni wanaume
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jumamosi hii saa 3:30 usiku Fc Barcelona mabingwa wa dunia watakuwa uwanja wa ugenini dhidi ya Real Betis
MAONI YANGU REAL BETIS WAJIANDAE KWA KIPIGO CHA MBWAMWIZI
VIVA BARCELONA
 
Back
Top Bottom