FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

WASEMAVYO MASHABIKI WA RONALDO NA MADRID ukiwauliza kwann Ronaldo unafikiri ni bora kuliko messi watakuambia ni kwa sababu Ronaldo kafanikiwa na timu zaidi ya moja angali messi yupo barca tuu...ukimuuliza kivipi? Atakuambia ni sababu Messi amezungukwa na wachezaji wazuri zaidi kuliko Ronaldo.....watakuambia alizungukwa na Iniesta Na Xavi....akaja akaondoka Xavi tukauliza tena kwann Xavi kaondoka na bado Messi akatwaa Baloon De or.....wakasema Messi kazungukwa na Neymar na Suarez... tukawaambia ila nyie si mna BBC???wakajitetea kuwa hawana ubora kama MSN.....tukawaambia tena mbona hamjatwaa La liga Miaka zaidi ya 7 sasa??? Wakasema Barca ina wachezaji wazuri kuliko Madrid....tukawaambia sasa tuanze uchambuzi wa mchezaji mmoja mmoja.......kati ya bravo/stergen na Navas nani mkali???? Watakuambia Navas[emoji38]....ukiwauliza kati ya Alves na Carvajal/Danilo ni nani mkali watasema ni Carvajal ni noma[emoji38][emoji38] ukimwuliza Alba na Marcelo nani mkali hapo unataka ugomvi....utasikia Marcelona hana mfano wake duniani[emoji38] je kati ya Ramos na Pique nani mkali???hapo unaweza pigwa kwenzi...jibu ni Ramos[emoji15] na je kati ya Mascherano na Pepe??? Watasema Pepe mtoto wa kiume ww sio mayai mayai kama Maschrano[emoji23][emoji23] haya ukiuliza kati ya Bisquet na Casemiro nani fundi???? Utasikia wee Casemiro roho mbaya mkata umeme yule[emoji15][emoji15]na je kati ya Rackitic na Kroos nani fundi???? Hahahhaa hapo jibu unalo mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uliza tena kati ya Iniesta na Modric na Iniesta nani kisheti????hapo ataona aibu anaweza sema Iniesta[emoji57][emoji57]usiishie hapo....uliza tena kati ya MSN na BBC ipi kali atakuambia ni BBC[emoji87][emoji87][emoji87] kisha uliza kiujumla sasa kati ya madrid na Barca ipii ina timu bora? Atasema madrid.....kisha swali la mwisho.......kwann miaka ya karibuni Barca inafanikiwa kuliko madrid? Atajibu Barca ina timu nzuri kuliko Madrid[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]mashabiki CR7 na Madrid Mungu anawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha, au wanasema sababu kacheza ligi moja.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: PNC
IMG_20160902_092027.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Leo Messi: "Every success you see at Barcelona is
the result of hard work, but between the three of
us there is a real natural understanding. We have
got a great relationship and understanding
together, but we are always believing we can take
it to an even higher level."
1473142890941.jpg
 
WASEMAVYO MASHABIKI WA RONALDO NA MADRID ukiwauliza kwann Ronaldo unafikiri ni bora kuliko messi watakuambia ni kwa sababu Ronaldo kafanikiwa na timu zaidi ya moja angali messi yupo barca tuu...ukimuuliza kivipi? Atakuambia ni sababu Messi amezungukwa na wachezaji wazuri zaidi kuliko Ronaldo.....watakuambia alizungukwa na Iniesta Na Xavi....akaja akaondoka Xavi tukauliza tena kwann Xavi kaondoka na bado Messi akatwaa Baloon De or.....wakasema Messi kazungukwa na Neymar na Suarez... tukawaambia ila nyie si mna BBC???wakajitetea kuwa hawana ubora kama MSN.....tukawaambia tena mbona hamjatwaa La liga Miaka zaidi ya 7 sasa??? Wakasema Barca ina wachezaji wazuri kuliko Madrid....tukawaambia sasa tuanze uchambuzi wa mchezaji mmoja mmoja.......kati ya bravo/stergen na Navas nani mkali???? Watakuambia Navas[emoji38]....ukiwauliza kati ya Alves na Carvajal/Danilo ni nani mkali watasema ni Carvajal ni noma[emoji38][emoji38] ukimwuliza Alba na Marcelo nani mkali hapo unataka ugomvi....utasikia Marcelona hana mfano wake duniani[emoji38] je kati ya Ramos na Pique nani mkali???hapo unaweza pigwa kwenzi...jibu ni Ramos[emoji15] na je kati ya Mascherano na Pepe??? Watasema Pepe mtoto wa kiume ww sio mayai mayai kama Maschrano[emoji23][emoji23] haya ukiuliza kati ya Bisquet na Casemiro nani fundi???? Utasikia wee Casemiro roho mbaya mkata umeme yule[emoji15][emoji15]na je kati ya Rackitic na Kroos nani fundi???? Hahahhaa hapo jibu unalo mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uliza tena kati ya Iniesta na Modric na Iniesta nani kisheti????hapo ataona aibu anaweza sema Iniesta[emoji57][emoji57]usiishie hapo....uliza tena kati ya MSN na BBC ipi kali atakuambia ni BBC[emoji87][emoji87][emoji87] kisha uliza kiujumla sasa kati ya madrid na Barca ipii ina timu bora? Atasema madrid.....kisha swali la mwisho.......kwann miaka ya karibuni Barca inafanikiwa kuliko madrid? Atajibu Barca ina timu nzuri kuliko Madrid[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]mashabiki CR7 na Madrid Mungu anawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani CR7 ana laliga ngapi?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Cjakuelewa hebu fafanua kidogo
Iyo inaitwa UCL FANTASY LEAGUE, Ni special kwa ajili ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, Wanakupa £100m kwa ajili ya usajili wa wachezaji 15 utakaowachagua ktk timu yako , alafu utachagua captain wako , Alafu unaweza ukajiunga ktk league mbalimbali duniani utakapokuwa na code za izo league, izo code hapo ni za lig tu nimeitengeneza, Nashindwa kukueleza vizuri ungeweza ukaingia playstore ukaandika UCL FANTASY LEAGUE app yao itakuja ya kwanza kabisa , ukishaipakua ukaifungua itakudirect moja kwa moja maelekezo kama kucreate timu mpaka kujoin league..
 
daaah mkuu hata mimi ningejua zinapouzwa kwa Tz ingekuwa safi saana sio kama yale mekundu ya man u utafikir shuka la mganga wa kienyeji
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Safi ulienda kuwaita naona mpo wengi kidogo saa hzi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Safi ulienda kuwaita naona mpo wengi kidogo saa hzi
kaa ukijua Barca hajaaanza league,bado yuko kwenye holiday mood,Neymar ndio kwanza anaanza practice Thursday-hii well oiled machine ita click into full gear in the next month or so-hapo sasa,once again the world will stand on its toes as the mighty Barca steam roll opponents with no mercy shown-you have been warned
 
Sawa nipo
Ntakuwa nakuja kiwasalimu hapa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom