jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Afadhali acheze kuliko kukosa,he has been there,seen it all hence yeye ni kutuliza mpira na ku pass on hana kiherehere na goal-kukosekana kwake hawa wengine wana hasira na hence demolition job watakayoifanya inaweza kuwa very bad kwa opposition(quoted from El Mundo)Wana barca kuna uwezekano wa king messi kucheza game hii ya weekend la liga?