FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ever upo upande wa nani sasa? Mimi au Allein? Inaonyesha upo kwa Allein sio🙁? Toa iyo avatar, rudisha ya zamani, inanikumbushia Messi akiwa na nywele ndefu.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
Kwani wewe ni nani yake, unajua mimi nikiangalia hiyo avatar yake nakumbuka nini?
Usitake nimwambie abadili na ID.

Mulize tu mimi nani kwake atakuambia, hata PNC anajua hilo' ni siri kubwa mno, hatakiwi mwingine akajua😀😀...Unakumbuka nini?
 
Halafu wapumbavu wanataka Messi aende EPL, hivi kaka kwanini tusianzishe thread ya Messi?

Wazo zuri mkuu! maana ukiangalia hakuna mchezaji aliyewahi kudumu mda mrefu bila kudrop, tumejionea kwa wachezaji wengi tu wamepotea mapema na kukimbilia ligi zisizojulikana.....messi iz amazing player, ni mchezaji aliyekamilika, asie na skendo mbaya, ni mchezaji aliyecheza miaka mingi bila kushuka, yeye ni kupanda tu kila day, na bado anaendelea kuvunja marekodi..... thread yake ilitakiwa iwepo miaka 8 kabla...
 
Ngoja akipiga tukio lingine tunaanzisha Thread yake, au tuombe mods thread hii iwe ya MESSI na Barca.
 
Potential Barcelona Lineup to Play Against Valencia on Saturday

After a thrilling 4-0 over Manchester City and a win over former manager Pep Guardiola this week, Barcelona will be looking to build a run of form in the league as well.

The Catalan giants face a trip away to Valencia, and this is how they could potentially lineup...
Goalkeeper

Ter Stegen
Ter Stegen holds down a firm place as the number one at Camp Nou.
Defence

S. Roberto
Mascherano
Umtiti
Digne
Barcelona may have smashed Manchester City, but not all was good news for them as they lost Gerard Pique and Jordi Alba to respective injuries.

That means that summer signings Lucas Digne and Samuel Umtiti, who has only recently retuned from the sidelines himself, are expected to step-up.

Sergi Roberto should regain full-fitness to feature after missing out mid-week, leaving Javier Mascherano to complete the defence.
Midfield

André Gomes
Busquets
Iniesta
Luis Enrique likes to rotate his squad, especially in the midfield, so it is likely we'll see the return of Andre Gomes - or alternatively Rafinha in place of Ivan Rakitic.

Barcelona's ever-reliable Sergio Busquets and Andres Iniesta should complete the three man midfield once again.
Forwards

Messi
Suárez
Neymar
Lionel Messi ran riot against the Citizens in midweek with another career hat-trick, as he hits some solid form following the recovery from his injury.

Neymar also scored in the Champions League and as ever is expected to play on the opposing wing to Messi, with Luis Suarez completing the MSN trio in the centre of the attack.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu, wewe sasa ndo shabiki wa Barca sio kama PNC. Wakati nasoma Post gako nilikuwa nakula, kwa heshima yako nikaona sio vema kukujibu wakati nakula.

Mkuu, inapendeza sana mtu ukiwa na fact za wachezaji kama hizi, wewe ni tofauti na mashabiki wengine wa Barca.

PNC kaja Barca baada ya Messi kuweka mpira wavuni mara 4 dhidi ya Arsenal pale Camp Nou. Jamaa aliapa kuwa Arsenal akipigwa na Barca atahamia moja kwa moja Barca. Sasa mtu kama huyu hawezi kuwa na Fact za Messi kama hizi.

Binafsi kati ya namba 9 nnazozikubaki duniani, namba 1 ni Kun Aguero, anafuata Lewandowski. Suarez halikuwa chagua sahihi kwa Barca badala ya Aguero ila tulimchukua Suarez sababu sio mtu wa kupata majeruhi mara kwa mara. Magoli ya Aguero hayafananii na EPL, ni magoli kama ya Messi. Ni mtu makini mno ktk ufungaji na hatumii nguvu nyingi kama Suarez. Yupo kawaida sana, anakokota, anapiga chenga na anaweka mpira wavuni. Aguero na Lewandowski nawakubali mno hawa watu kuliko hata Suarez.
Asante!

Hahahahaa mkuu Alleyn acha zako aise! Binafc kwa ushabiki kwakweli bado sijamfikia PNC hata nusu yake,! Kwanza mimi hapa jf sina mda mrefu,tofauti na ninyi mliozoeleka, mnalijua soka mfano PNC,good96,red giant,072, jackline n.k, hakuna asiyewajua humu big up sana wakuu! Pia kula ni wajibu, hata mimi nikitumiwa meseji wakati nakula sirudishi,sometimes nikipigiwa vile vile sipokei!

mkuu hapo nyuma nilikua namsifia sana messi na wachezaji wengine bila kuweka facts,na ktk mijadala mingi tu nilikuwa sio muwazi kwakweli...hivyo nimeona niwe mkweli na kuwachana na uongo!, 😀😀lakini naomba usinifagilie hivyo wakati wapo wanaoleta facts, na wapo wengi tu wanaolijua soka zaidi yangu mimi, one of them bro big up! in-short mimi sio mtaalam wa soka kuwazidi wengine,japo ni mfuatiliaji wa mda mref.

😀😀😀Kumbe Huyu PNC alikua the gunners? hahahaaa siri zimeanza kufichuka aise,, baada ya messi kupachika goli 4 ndio ikawa mwisho wake na wazee wa bunduki hahahahaa......

Nakubaliana na wewe %100! Kwa upande wa no9 kwakweli sijaona kama Kun Aguero, akifuatiwa na kitukuu cha Hitler /Lewandowski
 
Mkuu, wewe sasa ndo shabiki wa Barca sio kama PNC. Wakati nasoma Post gako nilikuwa nakula, kwa heshima yako nikaona sio vema kukujibu wakati nakula.

Mkuu, inapendeza sana mtu ukiwa na fact za wachezaji kama hizi, wewe ni tofauti na mashabiki wengine wa Barca.

PNC kaja Barca baada ya Messi kuweka mpira wavuni mara 4 dhidi ya Arsenal pale Camp Nou. Jamaa aliapa kuwa Arsenal akipigwa na Barca atahamia moja kwa moja Barca. Sasa mtu kama huyu hawezi kuwa na Fact za Messi kama hizi.

Binafsi kati ya namba 9 nnazozikubaki duniani, namba 1 ni Kun Aguero, anafuata Lewandowski. Suarez halikuwa chagua sahihi kwa Barca badala ya Aguero ila tulimchukua Suarez sababu sio mtu wa kupata majeruhi mara kwa mara. Magoli ya Aguero hayafananii na EPL, ni magoli kama ya Messi. Ni mtu makini mno ktk ufungaji na hatumii nguvu nyingi kama Suarez. Yupo kawaida sana, anakokota, anapiga chenga na anaweka mpira wavuni. Aguero na Lewandowski nawakubali mno hawa watu kuliko hata Suarez.
Asante!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu Aleyn nilishakwambia toka kule kwenye group la jf wasap kuwa upunguze kutumia viroba[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona sasa pumba unazoongea
 
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha Mkuu, siku hizi nna amani saaaana. Unakumbuka zile kasumba za siku zileeeeeeeeeee.

Ngoma si ukapasuka tena bhanaaa, dogo akagoma kuchomoa, weeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Sasa hivi nimekoma!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] ni ginious pekee ndio atakuelewa ila usiridie tena
 
Hivi kaka ikitokea Messi akaenda Man U, utaungana na Everlenk kuishabikia Man U?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] ni ginious pekee ndio atakuelewa ila usiridie tena
Mnazugisha nini na story zenu za viroba,wala siyo siri PNC ni Arsenal mbona inajulikana long tu[emoji23] [emoji23]
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha Mkuu, siku hizi nna amani saaaana. Unakumbuka zile kasumba za siku zileeeeeeeeeee.

Ngoma si ukapasuka tena bhanaaa, dogo akagoma kuchomoa, weeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Sasa hivi nimekoma!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu Aleyn nilishakwambia toka kule kwenye group la jf wasap kuwa upunguze kutumia viroba[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona sasa pumba unazoongea
 
  • Thanks
Reactions: PNC
M. ter Stegen
5 Busquets
8 Iniesta
9 L. Suárez
10 L. Messi
11 Neymar
14 J. Mascherano
19 L. Digne
20 Sergi Roberto
21 André Gomes
23 S. Umtiti
 
Back
Top Bottom