PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
MESSI NI HABARI NYINGINE WEKA MBALI NA WATOTOHuyu messi si mtu wa wa kawaida wasipompa uchezaji bora wa dunia atavunja hata rekod ambazo hazina ulazima wa kuvunjwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MESSI NI HABARI NYINGINE WEKA MBALI NA WATOTOHuyu messi si mtu wa wa kawaida wasipompa uchezaji bora wa dunia atavunja hata rekod ambazo hazina ulazima wa kuvunjwa
wanaweza mpanga kama zawadi. tumeumiaWakuu Leo ni birthday ya beki wetu mpendwa Mathieu. Anatimiza miaka 33. Tumtakie kheri katika maisha yake
Oooopsiii! Mungu atusaidie leo hii njemba ikipangwa kuanza ichomoe na kudai Leo ni siku special kwake ya kusherehekea Bday!Wakuu Leo ni birthday ya beki wetu mpendwa Mathieu. Anatimiza miaka 33. Tumtakie kheri katika maisha yake
amekuwa anatutoa sana. mechi sita goli tano.Rafinha is now becoming a key player
jamaa wamefungwa bado wakaendelea kupaki basi! sijui ndiyo kufanya demage control?